Pale mwanamke anapodhani kanizidi akili kwenye mahusiano

Pale mwanamke anapodhani kanizidi akili kwenye mahusiano

Mbona baada ya maelezo yako mareeefu sijaweza kuona akili yako unayojiona unayo mkuu. Umeshakubali mdada hakuwa na hisia na wewe na hakukubalia hata kumgusa na kidole mbona kama wewe ndio umeburuzwa sasa. Unalala na mdada siku 3 tena uchi humli anakukatalia kisha unajisifu mkuu?

Hauko mjanja unavyojifikiria
 
Subiri kwanza;-
-kwamba wewe ni makini sana?
-wewe ni husband material?
-wewe mwenyewe haujaoa?
-wewe huyohuyo unabadilisha wanawake mara tu unapohisi unayohisi negatively?
-wewe huyohuyo "husband material " unajifananisha na wahuni ambao wanawake wakijilengesha wanawabutua tu ili wajue yaliyomo kama yamo?
-wewe huyohuyo unahonga "kidogo"?
-tena bila kusahau pia,wewe ni scorpion?
NB;Ni aidha hujielewi ni nani au haueleweki unataka kujieleza kitu kipi!
👏👏👏👏
 
Sijue huko kwenu vipi lakini mwenzenu ninayokutana nayo sio mepesi, lakini kwasababu mimi ni mtu makini huwa nafanikiwa kutoka, si Rahis ni mkono wa Mungu tu 😁

Ndani ya kipindi kifupi nimedate na wasichana watatu wa hovyo,
unajua kuna vitu huwezi elewa wala kueleza hadi ukutane navyo upate experience
Niwasanue mapenzi au mahusiano ya sasa yamekua ya kuviziana sana ukizubaa dakika mbili washa kuchinja.
Mimi niseme hasa kwa wanaume kama mimi ambao ni husband material, nimeruka viunzi vingi sana na sina hata mtoto wa kusingiziwa.

Ngoja nisimulie niliyoyaona alafu utafananisha na maisha yalio kuzunguka wewe huko.

Kama mnavyojua Wanawake wengi wanatamani kupata wa kuwatunza.
Lakini shida inakuja hawana sifa za kuwa wake, kwa kukosa Akili na wengi wamekwisha haribu hadi na miili yao. Kwahiyo kwa kuwa husband material nao tumeacha tabia za kukurupuka naona sasa wanake wengi wamekuja na mbinu mbadala ya kututeka.

Vifaa vya kiroho, au ushirikina wa mafuta, na vingine vingi ikiwa ni sehemu ya mpango kazi wa Kumteka Mwanaume akamatike na atoboke kwenye upumbavu.

Kuna binti bhana alitumia kila njia kuwa na namba yangu, mwisho ilibidi nisave namba yake kwani alikuwa mteja wangu,
kwakifupi sikuwa nimemtamani lakini kama mnavyojua ukiwa single alafu Mwanamke akilengesha wahuni tunabutua tu kucheki yaliyomo yamo ?
alafu badae ndio unahakiki na vingine, value ya kutoka na mtu kama mm anayo ??

Baada ya story nyingi za mapenzi, Kama utani nikamwambia twende kwangu usiku hapo.. akakubali tumefika mimi kilichokua akilini tayari kwanza yeye ndio kama kanitongoza sikuwa na time nae sana
Nikamwambia tukaoge, tukaenda bafuni tukasuguana weee hadi raha,
haya tukapanda kwa kitanda,
tuliongea sana na mzigo sikula hata kidole sikupitisha bila idhini yake niliambulia mabusu tu, nikaheshimu hayupo tayar kufanya .

day two nikamwambia achague tunaenda kwangu au ananipeleka kwake, akaamua kunipeleka kwake.. tumemaliza kuoga nashanga mtu anato mafuta anajipaka sehemu za shingo, akachukua lotion nayo akajipaka akapaka na miguu
ile harufu sikuipenda nikamwambia sasa hapo mafuta hata kukukis siwezi sasa tunasex vipi? akadai hata yeye hayupo tayar kusex
Yani nililala nae akiwa uchi, na bado nilisema mm sihindiwi jambo nilijaribu kumkiss kumvuta kisia akubali laki wapi mtu hana babari, basi tukalala tena hadi asubuh.

Day 3 ndio tulibwagana na ndio siku nlimsukia bomu la Kimataifa.
linahusiana na hela inshort yeye ndie kala loss

na uzuri nilikuwa nimeisha muonya sana nikimwambia.
Ninaakili nyingi naijua dunia sana kukuzidi na isitoshe najua Ulimwengu wa Roho zaidi ya unavyo fikiri.
i am a scorpion 🦂 ♏ if you chasing me there is a Sting tena nina sumu kali sana.

Bora na wale wengine niliwahonga honga kidogo, akipita nikujisemesha nimevaa kanga niliyonunuliwa na ex wangu, mala nyoo mala nyoo kumbe mburula tu.

mwingine kwa vile ni mimi ndie nilikua wakwanza kumfata, tuliachana kishkaji tu, wanaume unao wengi iko wazi hata kubisha huwezi, yaliyomo hayamo wewe pita njia yako.

Mali Safi nimeamua Kutulia.. Muwe na Jumatatu Njema.
Subiri kwanza;-
-kwamba wewe ni makini sana?
-wewe ni husband material?
-wewe mwenyewe haujaoa?
-wewe huyohuyo unabadilisha wanawake mara tu unapohisi unayohisi negatively?
-wewe huyohuyo "husband material " unajifananisha na wahuni ambao wanawake wakijilengesha wanawabutua tu ili wajue yaliyomo kama yamo?
-wewe huyohuyo unahonga "kidogo"?
-tena bila kusahau pia,wewe ni scorpion?
NB;Ni aidha hujielewi ni nani au haueleweki unataka kujieleza kitu kipi!
👏👏👏👏
Au wewe umeonaje mkuu?
 
Mimi nimeona mtu aliyevurugwa.
 
Mbona baada ya maelezo yako mareeefu sijaweza kuona akili yako unayojiona unayo mkuu. Umeshakubali mdada hakuwa na hisia na wewe na hakukubalia hata kumgusa na kidole mbona kama wewe ndio umeburuzwa sasa. Unalala na mdada siku 3 tena uchi humli anakukatalia kisha unajisifu mkuu?

Hauko mjanja unavyojifikiria
Naelewa mimi ni mdhaifu na nimekuja hapa kusema udhaifu wangu.

Ila nimeamua kusema mazuri niliyonayo nikiambatanisha na upumbavu wangu.

am i wrong ?

😅😅😆😆
 
Uchoko unaenea kwa kasi sana Tanganyika.

KAZI ni kipimo cha UTU!!
 
Kulikua hakuna connection ya nafsi zzenu mbili!!

Hutokea!sio kila kee ni ya kila mee and vice versa!!

Big up sana hukulazimisha hisia madhara ya kulazimisha hisia ni makubwa sana!
 
Back
Top Bottom