Pale mwanamke anapodhani kanizidi akili kwenye mahusiano

Mbona baada ya maelezo yako mareeefu sijaweza kuona akili yako unayojiona unayo mkuu. Umeshakubali mdada hakuwa na hisia na wewe na hakukubalia hata kumgusa na kidole mbona kama wewe ndio umeburuzwa sasa. Unalala na mdada siku 3 tena uchi humli anakukatalia kisha unajisifu mkuu?

Hauko mjanja unavyojifikiria
 
👏👏👏👏
 
Subiri kwanza;-
-kwamba wewe ni makini sana?
-wewe ni husband material?
-wewe mwenyewe haujaoa?
-wewe huyohuyo unabadilisha wanawake mara tu unapohisi unayohisi negatively?
-wewe huyohuyo "husband material " unajifananisha na wahuni ambao wanawake wakijilengesha wanawabutua tu ili wajue yaliyomo kama yamo?
-wewe huyohuyo unahonga "kidogo"?
-tena bila kusahau pia,wewe ni scorpion?
NB;Ni aidha hujielewi ni nani au haueleweki unataka kujieleza kitu kipi!
👏👏👏👏
Au wewe umeonaje mkuu?
 
Mimi nimeona mtu aliyevurugwa.
 
Naelewa mimi ni mdhaifu na nimekuja hapa kusema udhaifu wangu.

Ila nimeamua kusema mazuri niliyonayo nikiambatanisha na upumbavu wangu.

am i wrong ?

😅😅😆😆
 
Uchoko unaenea kwa kasi sana Tanganyika.




KAZI ni kipimo cha UTU!!
 
Kulikua hakuna connection ya nafsi zzenu mbili!!

Hutokea!sio kila kee ni ya kila mee and vice versa!!

Big up sana hukulazimisha hisia madhara ya kulazimisha hisia ni makubwa sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…