Uchaguzi 2020 Pale Polepole akiwatambia Watanzania kuwa Watendaji wa CCM wanatembelea Land Cruiser V8

kidadari

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
8,647
Reaction score
9,604
Hii clip imenifikirisha kweli maana sijajua kama ni kuwakejeli Watanzania kua wanaishi kifahari kuliko wao?

Ulimbukeni wa H. P baada ya kupata hela na madaraka ?
Au Wa Tz ni makimbikeni kiasi hata hawajui LC V8 ni nini.

Huu ubabe na kujimwambafy utafika kikomo.
 
Attachments

  • VID-20201020-WA0008.mp4
    4.3 MB
Hii clip imenifikirisha kweli maana sijajua kama ni kuwakejeli Watanzania kua wanaishi kifahari kuliko wao?

Ulimbukeni wa H. P baada ya kupata hela na madaraka ?
Au Wa Tz ni makimbikeni kiasi hata hawajui LC V8 ni nini.

Huu ubabe na kujimwambafy utafika kikomo.
Kutembelea V8 kuna uhusiano gani na maisha ya Watanzania ambao wanajiandaa kupiga kura? Angetumia muda huo kupiga kampeni kwa kufafanua sera za chama chake. Hakusoma alama za nyakati. Kauli hizi si wakati wake na zinaweza kutumika km nyundo ya kuwaadhibu. Hali ya maisha ya wananchi ni ngumu sana, kujigamba huko ni dharau kwa wananchi wenye changamoto lukuki za maisha.
 
Hii clip imenifikirisha kweli maana sijajua kama ni kuwakejeli Watanzania kua wanaishi kifahari kuliko wao?

Ulimbukeni wa H. P baada ya kupata hela na madaraka ?
Au Wa Tz ni makimbikeni kiasi hata hawajui LC V8 ni nini.

Huu ubabe na kujimwambafy utafika kikomo.
Kwani ni uwongo!
 
Kutembelea V8 kuna unusiano gani na maisha ya Watanzania ambao wanajiandaa kupiga kura? Angetumia muda huo kupiga kampeni kwa kufafanua sera za chama chake. Hakusoma alana za nyakati. Kauli hizi si wakati wake na zinaweza kutumika km nyundo ya kuwaadhibu. Hali ya maisha ya wananchi ni ngumu sana, kujigamba huko ni dharau kwa wananchi wenye changamoto lukuki za maisha.
Ni ulimbukeni na ushamba ndiyo unamsumbua huyu Chakubanga.
 
Hii clip imenifikirisha kweli maana sijajua kama ni kuwakejeli Watanzania kua wanaishi kifahari kuliko wao?

Ulimbukeni wa H. P baada ya kupata hela na madaraka ?
Au Wa Tz ni makimbikeni kiasi hata hawajui LC V8 ni nini.

Huu ubabe na kujimwambafy utafika kikomo.
Huyu ni mshamba, ni limbukeni na ni lofa
 
CHADEMA fedha zote walizo changiwa katika michango mbalimbali kutoka kwa wa fadhili,wananchi, wabunge zote zimeishia kutafunwa. Sasa msiwaoneee wivu CCM, fedha zao wamewekeza katika miradi mbalimbali na Moja ya faida ni ununuzi wa magari. CHADEMA magari na vifaa vya Chama vyote vinamilikiwa na Mwenyekiti wao.
 
Ningeshangaa walioikwapua CCM na kumkabidhi JPM na team yake ya uongozi wa CCM, Chama chenye wanachama wa kuficha nyuso zao kwenye mifuko ya rambo na documents bags kama wasingekuja na kauli hizi za husuda.
 
Aibu tupu akina Kikwete wanaongezewa nyumba zingine na mengine

Ndio upotoshaji tusioutaka huu nyumba ya Kikwete na Marais wengine wastaafu ni kwa mujibu wa katiba ya JMT. Hayo ni mambo ya serikali sio chama cha CCM.
 
Hii clip imenifikirisha kweli maana sijajua kama ni kuwakejeli Watanzania kua wanaishi kifahari kuliko wao?

Ulimbukeni wa H. P baada ya kupata hela na madaraka ?
Au Wa Tz ni makimbikeni kiasi hata hawajui LC V8 ni nini.

Huu ubabe na kujimwambafy utafika kikomo.
Huyu Bwana Polepole hata Mimi kanishangaza. Yani ameamua kuwavimbia wapiga kura badala ya kuwaomba Kura. Hizi ni dharau na jeuri ya madaraka.

Anadhani haya ma V8 CCM yameanza kutumika leo? Mbona wakina Nape walikuwa wanayatumia bila kudhihaki Wapigakura wanaoshindia Mizizi (mihogo/viazi) na Matunda?? Kweli hawa jamaa wa Utawala uliofitinika wana kaushamba flan.
 
Hii clip imenifikirisha kweli maana sijajua kama ni kuwakejeli Watanzania kua wanaishi kifahari kuliko wao?

Ulimbukeni wa H. P baada ya kupata hela na madaraka ?
Au Wa Tz ni makimbikeni kiasi hata hawajui LC V8 ni nini.

Huu ubabe na kujimwambafy utafika kikomo.
Chama cha Mbowe, ukitoa wale walikuwa wabunge. List hapa wanaotembelea V8. Chama cha mfukoni, genge la wahuni wa saccos kinataka jilinganisha na chama cha watanzania. Upuuzi mtupu.
 
Waliopitisha hizo sheria mbovumbovu ni wabunge wa chama gani? shame on you

Kumtunza na kumuenzi mtu aliyetumikia Taifa kwa miaka 10 katika kazi ngumu kama ya urais wewe unaona si jambo la msingi? Ulitaka taka wa enziwe vipi?
 
Back
Top Bottom