Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
Hizo sheria za kipuuzi zimetungwa serikali hii ya kibaguzi na kupitishwa na vilaza wagonga meza.
Tutafuta hizi sheria zote za kijinga baada ya hawa mashetani kuondoka ikulu
Lissu na rais wa mashoga duniani unafikiri ndio watakao weza kumuondoa JPM na CCM madarakani? AU unafikiri propoganda zenu za hili joka/monoster lenye vichwa 7 linaloitwa genge la madui wa Taifa la Tanzania ndio zitafua dafu unajidanganya. Vichwa vingine vikiwa ndani ya Tanzania hapo Tanga kwa mfano. Vingine vikiwa USA na kwengineko vikitena sumu.
Propoganda za kutaka kuchezea sifa bora za Rais JPM za kuwa 'a Very Firm, Decisive and No Soft President' sifa hizi zilizo mfanya JPM awe Rais wa kipekee duniani mnataka kuzichezea. Namkisha zichezea ndio mje kumpigia Lissu kampeni kijanja janja? Mambo ya ajabu sana haya kama yataendelea kuvumiliwa.