Uchaguzi 2020 Pale Polepole akiwatambia Watanzania kuwa Watendaji wa CCM wanatembelea Land Cruiser V8

Uchaguzi 2020 Pale Polepole akiwatambia Watanzania kuwa Watendaji wa CCM wanatembelea Land Cruiser V8

Ndio upotoshaji tusioutaka huu nyumba ya Kikwete na Marais wengine wastaafu ni kwa mujibu wa katiba ya JMT. Hayo ni mambo ya serkali sio chama cha CCM.
Sio kwa muujibu wa katiba babu . ni sheria Fulani ilitungwa mwaka 1999 kama sikosei kama sheria zingine nyingi za ovyo.
 
Hii clip imenifikirisha kweli maana sijajua kama ni kuwakejeli Watanzania kua wanaishi kifahari kuliko wao?

Ulimbukeni wa H. P baada ya kupata hela na madaraka ?
Au Wa Tz ni makimbikeni kiasi hata hawajui LC V8 ni nini.

Huu ubabe na kujimwambafy utafika kikomo.
Polepole ni mjinga kweli hakuelewa mtego uliokuepo kwenye hilo swali; Anatamba kutembelea V8 wakati wanajeshi wanashinda njaa huko Nanyamba?
 
Si aliomba mwenyewe?? Wakati anafanya hiyo kazi ngumu huwa halipwi?? Kwanini umlipe Hadi anapostaafu? Mbaya zaidi mafao yake hayafwati formula ya watumishi wengine. Naye ungekuwa analipwa mafao kama watumishi wengine, asingepitisha Sheria kandamizi mana na yeye zingem-tight.

Haya Mambo ya ubinafsi katika maslah ya watumishi ndio yanafanya baadhi ya watumishi waishi km wapo peponi na wengine kuishi km wapo jehanam. Haki Haki Haki

Maisha ya kila siku ya Rais wa nchi yanafuata utaratibu wa raia au wafanyakazi wengine?

Nafurahi ba ashukuriwe Mungu wetu maana propoganda zenu za kumtoa JPM kwenye mstari zime feli bigitimu.

Angalia kampane za Leo mpaka pushapu zimepigwa. Tunataka tuendelee kumuona JPM yule yule mwenye misimamo isiyo yumbishwa hata tone. JPM wa kusema mbele ya hadhara sioni wa kunishinda. "JPM is a NO SOFT PRESIDENT" msimuambukize mitazamo yenu ya ajaabu iliyotaka kuliangamiza Taifa hili kipindi cha juzi kati.
 
Kwahiyo unataka kutuambia JPM akiondoka madarakani nchi itasimama?? Hayo mawazo mgando Sana dada yangu.

Ushaelezwa JPM ataondoka Kwa Kura tarehe 28/10/2020 iwe kwa Heri au Kwa Shari. Achague yeye.

Mambo ya CCM itaondokaje sio hoja iliyombele yetu Kwa Sasa na wala haituumiz kichwa. Nyie wachumia tumbo na watu wa mapambio ya kusifu, JPM akishapigwa Chini wote mtasambaratika na kukihama hicho chama kama ilivyokuwa Kwa wanachama wa KANU. Uliza KANU ilifutikaje kwenye uso wa Dunia??

KANU waliokuwa wanatomaswa na Makaburu wakati Tanzania ikipambana na Makaburu. Hata midano umekuwa mufilisi naona.
 
Ndio upotoshaji tusioutaka huu nyumba ya Kikwete na Marais wengine wastaafu ni kwa mujibu wa katiba ya JMT. Hayo ni mambo ya serkali sio chama cha CCM.
Acha upotoshaji kwa kutumia katiba maana JPM hatumii katiba but kichwa chake...mfano wafanya kazi wanatakiwa kupandishwa salary zawo within designated period vipi amefanya hivo???
 
Acha upotoshaji kwa kutumia katiba maana JPM hatumii katiba but kichwa chake...mfano wafanya kazi wanatakiwa kupandishwa salary zawo within designated period vipi amefanya hivo???

Ndio mlivyo kuwa mnawadanganya na utapeli wenu. Unampandisha mfanyakazi buku 10, 000 kumzuga huku ana malimbikizo ya stahiki zake. Wakati ukweli ni kuwa mmezuia malimbikizo ili muweze kumdanganya na ongezeko la mshara lisilo la tija yeyote. Mkitoka hapo mmepata propoganda tool ya kuongeza kwenye sanduku lenu la upotoshaji na kuzugia.
 
Hii clip imenifikirisha kweli maana sijajua kama ni kuwakejeli Watanzania kua wanaishi kifahari kuliko wao?

Ulimbukeni wa H. P baada ya kupata hela na madaraka ?
Au Wa Tz ni makimbikeni kiasi hata hawajui LC V8 ni nini.

Huu ubabe na kujimwambafy utafika kikomo.
Kapiga ndefu sana kwenye biashara ya ununuzi wa wabunge na madiwani
 
Chama cha Mbowe, ukitoa wale walikuwa wabunge. List hapa wanaotembelea V8. Chama cha mfukoni, genge la wahuni wa saccos kinataka jilinganisha na chama cha watanzania. Upuuzi mtupu.
Hawa wanatembelea hizo V8 kwa utajiri gani tulionao TZ. Kama kweli CCM ni chama kinachojali wanyonge, kwanini wasipande magari ya kawaida wajitundike kwenye MaV8 ambayo ni kodi zetu? Viwanja vingi vya mpira vinavyotumika kama vitega uchumi vya ccm vilikuwa mali ya serikali. Hakuna justification yoyote ya viongozi wa CCM kujidai kutumia maV8 wakati wananchi wengi zaidi ya 80% ni masikini.
 
CCM ni kama wanasema "hamthubutu kututoa hata tukiwatukana".

Kule Samia Suluhu kasema mkiwapigia kura au msipowapigia watashinda.

Huyu naye Polepole anakuja na tambo za kishenzi.

Marais wanagawana majumba juu ya majumba.

Wakati wananchi wanaishi kwenye mabanda ya mbwa.

Kwa kweli nyumba za vijijini za Watanzania ukimjenge mbwa wako nchi nyingine unaweza kushitakiwa kwa kumnyanyasa mbwa.
Ni wakati wa kusema hapana kwa hawa wanafiki wanaotuibia na kutupaka mafuta kwa mgongo wa chupa. Wanachosema kina Lissu, Ponda, na Maalim Seif kina msingi mkubwa. Tunatawaliwa kwa nguvu na tusiowapenda, sasa ni wakati wa kutawaliwa na tuwapendao, tarehe 28 tutoke kwa wingi tukakatae utawala wa kiimla kwa kumpa Lissu ushindi wa kishindo.
 
Huyu mropokaji nafasi hii harudi tena, Bashiru ana hasira nae sana alivyopiga kifisadi fedha za kuwanunua wale 'makaka poa'
 
Si Magufuli huyuhuyu aliingia kwa mbwembwe za kubana matumizi? Whatever happened to his sera ya kubana matumizi! Rais wa wanyonge!! Ona watendaji wako wanavyoringia waliowaweka madarakani. Nyie ndio mbajiita serikali ya wanyonge? Pumbavu kabisa!
 
Chadema fedha zote walizo changiwa katika michango mbalimbali kutoka kwa wa fadhili,wananchi, wabunge zote zimeishia kutafunwa. Sasa msiwaoneee wivu CCM, fedha zao wamewekeza katika miradi mbalimbali na Moja ya faida ni ununuzi wa magari. Chadema magari na vifaa vya Chama vyote vinamilikiwa na Mwenyekiti wao.
Hawa chadema Kuna kipindi mzee Sabodo alijitolea pesa yakuchimba visima kwenye Kila Jimbo walikoshinda chadema akatoa milion mia mbili. Hadi leo hawajachimba hata kisima kimoja Cha mfano. Leo tuwape nchi? Hapana aysee
 
Ndio mlivyo kuwa mnawadanganya na utapeli wenu. Unampandisha mfanyakazi buku 10, 000 kumzuga huku ana malimbikizo ya stahiki zake. Wakati ukweli ni kuwa mmezuia malimbikizo ili muweze kumdanganya na ongezeko la mshara lisilo la tija yeyote. Mkitoka hapo mmepata propoganda tool ya kuongeza kwenye sanduku lenu la upotoshaji na kuzugia.
your just a garbage as your fellow green brains
 
Umeweka image na siyo clip

Clip gani unaitaka?
Si heri hata hao?
Mwenyekiti wa Taifa kajenga uwanja wa ndege wa kimataifa kijijini kwake.​
 
Ndio upotoshaji tusioutaka huu nyumba ya Kikwete na Marais wengine wastaafu ni kwa mujibu wa katiba ya JMT. Hayo ni mambo ya serikali sio chama cha CCM.
Tanzania huwezi kutafautisha kati ya Serikali na CCM , nikuulize suala dogo tu pale magogoni ni ofisi ya chama au ni nini, mara ngapi Magufuli amefanya mikutano ya chama pale
 
Back
Top Bottom