Kutembelea V8 kuna uhusiano gani na maisha ya Watanzania ambao wanajiandaa kupiga kura? Angetumia muda huo kupiga kampeni kwa kufafanua sera za chama chake. Hakusoma alama za nyakati. Kauli hizi si wakati wake na zinaweza kutumika km nyundo ya kuwaadhibu. Hali ya maisha ya wananchi ni ngumu sana, kujigamba huko ni dharau kwa wananchi wenye changamoto lukuki za maisha.Hii clip imenifikirisha kweli maana sijajua kama ni kuwakejeli Watanzania kua wanaishi kifahari kuliko wao?
Ulimbukeni wa H. P baada ya kupata hela na madaraka ?
Au Wa Tz ni makimbikeni kiasi hata hawajui LC V8 ni nini.
Huu ubabe na kujimwambafy utafika kikomo.
Kwani ni uwongo!Hii clip imenifikirisha kweli maana sijajua kama ni kuwakejeli Watanzania kua wanaishi kifahari kuliko wao?
Ulimbukeni wa H. P baada ya kupata hela na madaraka ?
Au Wa Tz ni makimbikeni kiasi hata hawajui LC V8 ni nini.
Huu ubabe na kujimwambafy utafika kikomo.
Ni ulimbukeni na ushamba ndiyo unamsumbua huyu Chakubanga.Kutembelea V8 kuna unusiano gani na maisha ya Watanzania ambao wanajiandaa kupiga kura? Angetumia muda huo kupiga kampeni kwa kufafanua sera za chama chake. Hakusoma alana za nyakati. Kauli hizi si wakati wake na zinaweza kutumika km nyundo ya kuwaadhibu. Hali ya maisha ya wananchi ni ngumu sana, kujigamba huko ni dharau kwa wananchi wenye changamoto lukuki za maisha.
Huyu ni mshamba, ni limbukeni na ni lofaHii clip imenifikirisha kweli maana sijajua kama ni kuwakejeli Watanzania kua wanaishi kifahari kuliko wao?
Ulimbukeni wa H. P baada ya kupata hela na madaraka ?
Au Wa Tz ni makimbikeni kiasi hata hawajui LC V8 ni nini.
Huu ubabe na kujimwambafy utafika kikomo.
Makatibu kata na mashina CCM hawana hata bodaboda
Aibu tupu akina Kikwete wanaongezewa nyumba zingine na mengineWangezipata wapi wakati chama chenyewe wakati huo hata ratiba za vikao vyake/ utendaji wake hazipangiki mpaka kwenda kufanya mipango ya kupatiwa misaada yakina Chadrasaruche na Meghkubighram.
Aibu tupu akina Kikwete wanaongezewa nyumba zingine na mengine
Huyu Bwana Polepole hata Mimi kanishangaza. Yani ameamua kuwavimbia wapiga kura badala ya kuwaomba Kura. Hizi ni dharau na jeuri ya madaraka.Hii clip imenifikirisha kweli maana sijajua kama ni kuwakejeli Watanzania kua wanaishi kifahari kuliko wao?
Ulimbukeni wa H. P baada ya kupata hela na madaraka ?
Au Wa Tz ni makimbikeni kiasi hata hawajui LC V8 ni nini.
Huu ubabe na kujimwambafy utafika kikomo.
Chama cha Mbowe, ukitoa wale walikuwa wabunge. List hapa wanaotembelea V8. Chama cha mfukoni, genge la wahuni wa saccos kinataka jilinganisha na chama cha watanzania. Upuuzi mtupu.Hii clip imenifikirisha kweli maana sijajua kama ni kuwakejeli Watanzania kua wanaishi kifahari kuliko wao?
Ulimbukeni wa H. P baada ya kupata hela na madaraka ?
Au Wa Tz ni makimbikeni kiasi hata hawajui LC V8 ni nini.
Huu ubabe na kujimwambafy utafika kikomo.
Waliopitisha hizo sheria mbovumbovu ni wabunge wa chama gani? shame on youNdio upotoshaji tusioutaka huu nyumba ya Kikwete na Marais wengine wastaafu ni kwa mujibu wa katiba ya JMT. Hayo ni mambo ya serkali sio chama cha CCM.
Kwani serikali hii ya kidhalimu na inaongozwa na Chama gani?Ndio upotoshaji tusioutaka huu nyumba ya Kikwete na Marais wengine wastaafu ni kwa mujibu wa katiba ya JMT. Hayo ni mambo ya serkali sio chama cha CCM.
Waliopitisha hizo sheria mbovumbovu ni wabunge wa chama gani? shame on you