Uchaguzi 2020 Pale Polepole akiwatambia Watanzania kuwa Watendaji wa CCM wanatembelea Land Cruiser V8

Kumtunza na kumuenzi mtu aliyetumikia Taifa kwa miaka 10 katika kazi ngumu kama ya urais wewe unaona si jambo la msingi? Ulitaka taka wa enziwe vipi?
Analipwa 80% ya Rais aliyeko madarakani, gari, dereva, mafuta, matibabu, walinzi n.k bado watoto wao ni viongozi/wabunge n.k bado unataka uendelee kumnemesha, kuna walimu wametumikia taifa kwa uaminifu mkubwa lakini hata pension zao ni aibu. fungua macho uone.
 

Mwalimu stahiki zake ni zipi akiwa kazini akitumika ambazo zinatakiwa ziakisi tofauti na pesheni yake?
 
Mwalimu ana bucha, soko lake? kwanini na wao wasiboreshewe iwe monthly pension ni 80% ya mwl aliyopo kwenye hicho cheo chake? tuache upendeleo wa kijinga na kuwa umiza wengine.

Haya si mawazo mapya katika mfumo wa zamani yangetekelezeka kwa staili gani kama hayako kwenywe mfumo? Nsona chengachenga tu.
 
Mpuuzi kama wewe utakuta umepanga chumba kimoja lakini unashangalia manyanyaso kwa watz

Kupanga chumba kimoja wewe ndio unaona ni mtaji wako wa kufanyia kebehi. Huna akili wewe sijui kama hata una imani na hofu juu ya Mungu. Unaweza kukaa kwenye nyumba ya marimari za lulu na ukawa huna amani moyoni maana hujui ni lini kichwa chako kitaliwa.
 
Joined Thursday.

MATAGA mtahangaika sana
 
Ndio upotoshaji tusioutaka huu nyumba ya Kikwete na Marais wengine wastaafu ni kwa mujibu wa katiba ya JMT. Hayo ni mambo ya serkali sio chama cha CCM.
Hizo sheria za kipuuzi zimetungwa serikali hii ya kibaguzi na kupitishwa na vilaza wagonga meza.
Tutafuta hizi sheria zote za kijinga baada ya hawa mashetani kuondoka ikulu
 
NA WEWW UNA AKILI KAMA ZA POLEPOLE
 
Wajamaa ni kawaida yao kuishi kifahari huku wakiwafanya wananchi fukara kabisa ili wawatawale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…