Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,751
- 3,698
Hizo sheria za kipuuzi zimetungwa serikali hii ya kibaguzi na kupitishwa na vilaza wagonga meza.
Tutafuta hizi sheria zote za kijinga baada ya hawa mashetani kuondoka ikulu
Hawa watu wamelewa madaraka, wana kibri na dharau sana! Ifike mahali namna yoyoye itumike waondolewe mdarakani wachukuliwe hatua kali za kisheria kwa ubadhirifu wa mali za umma, matumizi mabaya ya madaraka, uhujumu uchumi nkHii clip imenifikirisha kweli maana sijajua kama ni kuwakejeli Watanzania kua wanaishi kifahari kuliko wao?
Ulimbukeni wa H. P baada ya kupata hela na madaraka ?
Au Wa Tz ni makimbikeni kiasi hata hawajui LC V8 ni nini.
Huu ubabe na kujimwambafy utafika kikomo.
Ni kuhusu matumizi ya ruzuku! Vipo vyama haviwezi sema hata kwa bahati mbaya wanatumiaje ruzuku...Hii clip imenifikirisha kweli maana sijajua kama ni kuwakejeli Watanzania kua wanaishi kifahari kuliko wao?
Ulimbukeni wa H. P baada ya kupata hela na madaraka ?
Au Wa Tz ni makimbikeni kiasi hata hawajui LC V8 ni nini.
Huu ubabe na kujimwambafy utafika kikomo.
Wamevimbiwa madarakaCCM ni kama wanasema "hamthubutu kututoa hata tukiwatukana".
Kule Samia Suluhu kasema mkiwapigia kura au msipowapigia watashinda.
Hiyu naye Polepole anakuja na tambo za kishenzi.
Marais wanagawana majumba juu ya majumba.
Wakati wananchi wanaishi kwenye mabanda ya mbwa.
Kwa kweli nyumba za vijijini za Watanzania ukimjenge mbwa wako nchi nyingine unaweza kushitakiwa kwa kumnyanyasa mbwa.
Ndio ujinga wanu huoKumtunza na kumuenzi mtu aliyetumikia Taifa kwa miaka 10 katika kazi ngumu kama ya urais wewe unaona si jambo la msingi? Ulitaka taka wa enziwe vipi?
Huyu Haumfrey Polepole anakitumbukiza chama cha Magufuli shimoniHii clip imenifikirisha kweli maana sijajua kama ni kuwakejeli Watanzania kua wanaishi kifahari kuliko wao?
Ulimbukeni wa H. P baada ya kupata hela na madaraka ?
Au Wa Tz ni makimbikeni kiasi hata hawajui LC V8 ni nini.
Huu ubabe na kujimwambafy utafika kikomo.
Nimecheka kinoma [emoji23][emoji23][emoji23]Nilifikiri Polepole ana akili kidogo kumbe hana kabisa.
Madaraka matamu nyie acheni tu, wanaoyapigania kwa jasho na damu sio wajinga.
Si aliomba mwenyewe?? Wakati anafanya hiyo kazi ngumu huwa halipwi?? Kwanini umlipe Hadi anapostaafu? Mbaya zaidi mafao yake hayafwati formula ya watumishi wengine. Naye angekuwa analipwa mafao kama watumishi wengine, asingepitisha Sheria kandamizi mana na yeye zingem-tight.Kumtunza na kumuenzi mtu aliyetumikia Taifa kwa miaka 10 katika kazi ngumu kama ya urais wewe unaona si jambo la msingi? Ulitaka taka wa enziwe vipi?
Umefupisha vizuri sana.Wamevimbiwa madaraka
Kwahiyo unataka kutuambia JPM akiondoka madarakani nchi itasimama?? Hayo mawazo mgando Sana dada yangu.Lissu na rais wa mashoga duniani unafikiri ndio watakao weza kumuondoa JPM na CCM madarakani? AU unafikiri propoganda zenu za hili joka/monoster lenye vichwa 7 linaloitwa genge la madui wa Taifa la Tanzania ndio zitafua dafu unajidanganya. Vichwa vingine vikiwa ndani ya Tanzania hapo Tanga kwa mfano. Vingine vikiwa USA na kwengineko vikitena sumu.
Propoganda za kutaka kuchezea sifa bora za Rais JPM za kuwa 'a Very Firm, Decisive and No Soft President' sifa hizi zilizo mfanya JPM awe Rais wa kipekee duniani mnataka kuzichezea. Namkisha zichezea ndio mje kumpigia Lissu kampeni kijanja janja? Mambo ya ajabu sana haya kama yataendelea kuvumiliwa.
Walizitumia kujenga chama wenzio ndio maana mnateseka na ma v8 yenu, nyinyi mlikuwa watu wa kugalagala chini,kupiga magoti? hapana ndio hasara ya kuwekeza kwenye vitu na si watu.Chadema fedha zote walizo changiwa katika michango mbalimbali kutoka kwa wa fadhili,wananchi, wabunge zote zimeishia kutafunwa. Sasa msiwaoneee wivu CCM, fedha zao wamewekeza katika miradi mbalimbali na Moja ya faida ni ununuzi wa magari. Chadema magari na vifaa vya Chama vyote vinamilikiwa na Mwenyekiti wao.
Hii clip imenifikirisha kweli maana sijajua kama ni kuwakejeli Watanzania kua wanaishi kifahari kuliko wao?
Ulimbukeni wa H. P baada ya kupata hela na madaraka ?
Au Wa Tz ni makimbikeni kiasi hata hawajui LC V8 ni nini.
Huu ubabe na kujimwambafy utafika kikomo.