Uchaguzi 2020 Pale Polepole akiwatambia Watanzania kuwa Watendaji wa CCM wanatembelea Land Cruiser V8

Ndio upotoshaji tusioutaka huu nyumba ya Kikwete na Marais wengine wastaafu ni kwa mujibu wa katiba ya JMT. Hayo ni mambo ya serkali sio chama cha CCM.
Sio kwa muujibu wa katiba babu . ni sheria Fulani ilitungwa mwaka 1999 kama sikosei kama sheria zingine nyingi za ovyo.
 
Polepole ni mjinga kweli hakuelewa mtego uliokuepo kwenye hilo swali; Anatamba kutembelea V8 wakati wanajeshi wanashinda njaa huko Nanyamba?
 

Maisha ya kila siku ya Rais wa nchi yanafuata utaratibu wa raia au wafanyakazi wengine?

Nafurahi ba ashukuriwe Mungu wetu maana propoganda zenu za kumtoa JPM kwenye mstari zime feli bigitimu.

Angalia kampane za Leo mpaka pushapu zimepigwa. Tunataka tuendelee kumuona JPM yule yule mwenye misimamo isiyo yumbishwa hata tone. JPM wa kusema mbele ya hadhara sioni wa kunishinda. "JPM is a NO SOFT PRESIDENT" msimuambukize mitazamo yenu ya ajaabu iliyotaka kuliangamiza Taifa hili kipindi cha juzi kati.
 

KANU waliokuwa wanatomaswa na Makaburu wakati Tanzania ikipambana na Makaburu. Hata midano umekuwa mufilisi naona.
 
Ndio upotoshaji tusioutaka huu nyumba ya Kikwete na Marais wengine wastaafu ni kwa mujibu wa katiba ya JMT. Hayo ni mambo ya serkali sio chama cha CCM.
Acha upotoshaji kwa kutumia katiba maana JPM hatumii katiba but kichwa chake...mfano wafanya kazi wanatakiwa kupandishwa salary zawo within designated period vipi amefanya hivo???
 
Acha upotoshaji kwa kutumia katiba maana JPM hatumii katiba but kichwa chake...mfano wafanya kazi wanatakiwa kupandishwa salary zawo within designated period vipi amefanya hivo???

Ndio mlivyo kuwa mnawadanganya na utapeli wenu. Unampandisha mfanyakazi buku 10, 000 kumzuga huku ana malimbikizo ya stahiki zake. Wakati ukweli ni kuwa mmezuia malimbikizo ili muweze kumdanganya na ongezeko la mshara lisilo la tija yeyote. Mkitoka hapo mmepata propoganda tool ya kuongeza kwenye sanduku lenu la upotoshaji na kuzugia.
 
Kapiga ndefu sana kwenye biashara ya ununuzi wa wabunge na madiwani
 
Chama cha Mbowe, ukitoa wale walikuwa wabunge. List hapa wanaotembelea V8. Chama cha mfukoni, genge la wahuni wa saccos kinataka jilinganisha na chama cha watanzania. Upuuzi mtupu.
Hawa wanatembelea hizo V8 kwa utajiri gani tulionao TZ. Kama kweli CCM ni chama kinachojali wanyonge, kwanini wasipande magari ya kawaida wajitundike kwenye MaV8 ambayo ni kodi zetu? Viwanja vingi vya mpira vinavyotumika kama vitega uchumi vya ccm vilikuwa mali ya serikali. Hakuna justification yoyote ya viongozi wa CCM kujidai kutumia maV8 wakati wananchi wengi zaidi ya 80% ni masikini.
 
Ni wakati wa kusema hapana kwa hawa wanafiki wanaotuibia na kutupaka mafuta kwa mgongo wa chupa. Wanachosema kina Lissu, Ponda, na Maalim Seif kina msingi mkubwa. Tunatawaliwa kwa nguvu na tusiowapenda, sasa ni wakati wa kutawaliwa na tuwapendao, tarehe 28 tutoke kwa wingi tukakatae utawala wa kiimla kwa kumpa Lissu ushindi wa kishindo.
 
Huyu mropokaji nafasi hii harudi tena, Bashiru ana hasira nae sana alivyopiga kifisadi fedha za kuwanunua wale 'makaka poa'
 
Si Magufuli huyuhuyu aliingia kwa mbwembwe za kubana matumizi? Whatever happened to his sera ya kubana matumizi! Rais wa wanyonge!! Ona watendaji wako wanavyoringia waliowaweka madarakani. Nyie ndio mbajiita serikali ya wanyonge? Pumbavu kabisa!
 
Hawa chadema Kuna kipindi mzee Sabodo alijitolea pesa yakuchimba visima kwenye Kila Jimbo walikoshinda chadema akatoa milion mia mbili. Hadi leo hawajachimba hata kisima kimoja Cha mfano. Leo tuwape nchi? Hapana aysee
 
your just a garbage as your fellow green brains
 
Umeweka image na siyo clip
Your browser is not able to display this video.

Clip gani unaitaka?
Si heri hata hao?
Mwenyekiti wa Taifa kajenga uwanja wa ndege wa kimataifa kijijini kwake.​
 
Ndio upotoshaji tusioutaka huu nyumba ya Kikwete na Marais wengine wastaafu ni kwa mujibu wa katiba ya JMT. Hayo ni mambo ya serikali sio chama cha CCM.
Tanzania huwezi kutafautisha kati ya Serikali na CCM , nikuulize suala dogo tu pale magogoni ni ofisi ya chama au ni nini, mara ngapi Magufuli amefanya mikutano ya chama pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…