DadiMkaliWao
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 242
- 380
Wana-JF,
Niwakumbushe tu kuwa Infantino ni Rais wa Dunia toka 2016. Kwa miaka 7 ya Urais wake kaona mengi sana katika soka, lakini waliomchekesha ni Makolo tu.
Kama kuna Kolo anayebisha basi atume video ya Infantion akiwa katika wadhifa wake kama Rais wa FIFA akiicheka timu nyingine yoyote.
Rais wa FIFA alicheka maana aliaminishwa kwamba Makolo ni timu ya maana.
Sasa kwa macho yake akawashuhudia kwa Mkapa wakitoka suluhu nyumbani.
Hajakaa vizuri akasikia wametolewa raundi ya kwanza tu huko Misri.
Hajakaa vizuri anasikia wametiwa mkono na watani wao.
Hata mie hapo ningecheka aisee, japokuwa Marais huwa hawachekicheki ovyo.