Pale Rais wa Dunia alipowacheka Simba

Pale Rais wa Dunia alipowacheka Simba

DadiMkaliWao

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2019
Posts
242
Reaction score
380
Wana-JF,

Niwakumbushe tu kuwa Infantino ni Rais wa Dunia toka 2016. Kwa miaka 7 ya Urais wake kaona mengi sana katika soka, lakini waliomchekesha ni Makolo tu.

Kama kuna Kolo anayebisha basi atume video ya Infantion akiwa katika wadhifa wake kama Rais wa FIFA akiicheka timu nyingine yoyote.

Rais wa FIFA alicheka maana aliaminishwa kwamba Makolo ni timu ya maana.

Sasa kwa macho yake akawashuhudia kwa Mkapa wakitoka suluhu nyumbani.

Hajakaa vizuri akasikia wametolewa raundi ya kwanza tu huko Misri.

Hajakaa vizuri anasikia wametiwa mkono na watani wao.

Hata mie hapo ningecheka aisee, japokuwa Marais huwa hawachekicheki ovyo.

Wana-JF,

Niwakumbushe tu kuwa Infantino ni RAIS WA DUNIA toka 2016.

Kwa miaka 7 ya urais wake kaona mengi sana katika soka.

Lakini waliomchekesha ni Makolo tu.

Kama kuna Kolo anayebisha basi atume video ya Infantion akiwa katika wadhifa wake kama Rais wa FIFA akiicheka timu nyingine yoyote.

Rais wa FIFA alicheka maana aliaminishwa kwamba Makolo ni timu ya maana.

Sasa kwa macho yake akawashuhudia Kwa Mkapa wakitoka suluhu nyumbani.

Hajakaa vizuri akasikia wametolewa raundi ya kwanza tu huko Misri.

Hajakaa vizuri anasikia wametiwa mkono na watani wao.

Hata mie hapo ningecheka aisee, japokuwa Maraisi huwa hawachekicheki ovyo.

View: https://www.facebook.com/yangasc1935/videos/879695916700772/

Aahaaaaa
 
Sijawahi kuona rais anaevizia viongozi makoridoni na kujitambulisha kwa Lisa lizima hajaeleweka, ila walikuja kumjua baada ya kuitaja simba
 
Back
Top Bottom