ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Jana Simba wamecheza kwa kutumia uwezo wao kama wao na ki uhalisia walitakiwa wacheze game zao zote kwa style ile ili kujua uwezo halisi wa timu na zaidi kujua timu inapwaya wapi, tofauti na ilivyo kwa simba kutumia nguvu kubwa za nje ya uwanja hasa wakiwa kwa mkapa na hili tuliliongea hata kwenye mechi ya mwisho ya simba ambapo mwamuzi alitoka chini ya ulinzi wa wana usalama
Janja ya Simba kuwatumia waamuzi na kupanga mchezo na timu pinzani ili kushinda jana ilikua mwisho,yale matokeo tata ya upendeleo wa wazi wazi jana hayakuwepo kabisa,nakumbuka hata zile game za zanzibar simba alicheza kwa taabu sana
La msingi hapa Simba acheni inyeshe ili mjue panapovuja!