Pale Simba anapotumia uwezo wake halisi

Pale Simba anapotumia uwezo wake halisi

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Jana Simba wamecheza kwa kutumia uwezo wao kama wao na ki uhalisia walitakiwa wacheze game zao zote kwa style ile ili kujua uwezo halisi wa timu na zaidi kujua timu inapwaya wapi, tofauti na ilivyo kwa simba kutumia nguvu kubwa za nje ya uwanja hasa wakiwa kwa mkapa na hili tuliliongea hata kwenye mechi ya mwisho ya simba ambapo mwamuzi alitoka chini ya ulinzi wa wana usalama

Janja ya Simba kuwatumia waamuzi na kupanga mchezo na timu pinzani ili kushinda jana ilikua mwisho,yale matokeo tata ya upendeleo wa wazi wazi jana hayakuwepo kabisa,nakumbuka hata zile game za zanzibar simba alicheza kwa taabu sana

La msingi hapa Simba acheni inyeshe ili mjue panapovuja!
 
Uto kama uto, hao Asec, USGN, Berkane wameshinda wapi ugenini?
 
Non-sense... Ulishaona mtu anakuwa mnyonge kwake,? Labda uto dhidi ya Rivers.
 
.
JamiiForums-1705542743.jpg

Sent from my FTE171A using JamiiForums mobile app
 
Jana Simba wamecheza kwa kutumia uwezo wao kama wao na ki uhalisia walitakiwa wacheze game zao zote kwa style ile ili kujua uwezo halisi wa timu na zaidi kujua timu inapwaya wapi, tofauti na ilivyo kwa simba kutumia nguvu kubwa za nje ya uwanja hasa wakiwa kwa mkapa na hili tuliliongea hata kwenye mechi ya mwisho ya simba ambapo mwamuzi alitoka chini ya ulinzi wa wana usalama

Janja ya Simba kuwatumia waamuzi na kupanga mchezo na timu pinzani ili kushinda jana ilikua mwisho,yale matokeo tata ya upendeleo wa wazi wazi jana hayakuwepo kabisa,nakumbuka hata zile game za zanzibar simba alicheza kwa taabu sana

La msingi hapa Simba acheni inyeshe ili mjue panapovuja!
Uchawi haupandi ndege😂😂
 
UNACHOTAKIWA KUJUA NI KWAMBA BADO SIMBA ANA NAFASI YA KUVUKA NA KWA TABIA ZAKE KWA MKAPA NI KAMA AMESHAVUKA. ILA USISAHAU UNAWEZA TWAA UBINGWA MWAKA HUU. HICHO KITAKUWA NI KIPINDI CHAKO CHA KUJADILIWA TATIZO LA WATANZANIA MWENYE KANSA HUWA NA TABIA YA KUMCHEKA MWENYE UNYAFUZI.
 
Umempiga msumari wa moto.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Nyie ambao hamtumii ujanja mlifika hatua gani na campaign yenu ya THE RETURN OF CHAMPIONS.
Mimi msemaji Mkuu wa MAKOLO kwa niaba ya mashabiki wezangu wote wa MAKOLO tunataka kombe wala si hatua za uchezaji...[emoji87]
 
Unbeaten hadi sasa...ktk ligi na sinunui ushindi huko kimataifa utatuona mwakani tukitetema
Huyu [emoji230][emoji230] fc ninayomjua au unafikili kule kimataifa ww ng'ombe unaweza mfunga nani unaichake Simba tutakuona msimu ujao ukapoishia hizi nguvu za soda unafikili kule Kuna kmc sio [emoji16][emoji16] ww peleka ung'ombe uone Moto wake
 
Jana Simba wamecheza kwa kutumia uwezo wao kama wao na ki uhalisia walitakiwa wacheze game zao zote kwa style ile ili kujua uwezo halisi wa timu na zaidi kujua timu inapwaya wapi, tofauti na ilivyo kwa simba kutumia nguvu kubwa za nje ya uwanja hasa wakiwa kwa mkapa na hili tuliliongea hata kwenye mechi ya mwisho ya simba ambapo mwamuzi alitoka chini ya ulinzi wa wana usalama

Janja ya Simba kuwatumia waamuzi na kupanga mchezo na timu pinzani ili kushinda jana ilikua mwisho,yale matokeo tata ya upendeleo wa wazi wazi jana hayakuwepo kabisa,nakumbuka hata zile game za zanzibar simba alicheza kwa taabu sana

La msingi hapa Simba acheni inyeshe ili mjue panapovuja!
Nyie ndio mliwapa corona wachezaji wa Rivers utd na bado mlipigwa nje ndani
 
Back
Top Bottom