hata mm nashangaa kwann hawalioni hili loh! vikongwe na ma albino sio watu sio loh! au wenyewe hawataki haki zaoWhy people are so hung up on homosexuality is beyond me!
David Cameron anazungumzia haki za binadamu kuhusiana na ushoga watu wanatoa mapovu. Lakini kila mara tunasikia jinsi albinos wanavyonyanyaswa na kufanyiwa ukatili lakini hata tone la povu hakuna.
Vipaumbele vyetu vikoje sisi? Kwa jinsi watu walivyokomalia kumpinga Cameron kama wangeukomalia ukatili dhidi ya ndugu zetu albinos nadhani tatizo lingepungua kwa kiasi kikubwa sana.
Na kwa jinsi ambavyo tulimkomalia Cameron kama tungeukomalia ufisadi, umaskini, na uongozi mbovu mbona tungekuwa mbali. Watu mipovu hiyo utadhani sabuni ya erio kisa Cameron kasema msiwanyanyase mashoga.
Hivi kati ya ushoga na ukatili dhidi ya albinos kipi cha muhimu zaidi?
hata mm nashangaa kwann hawalioni hili loh! vikongwe na ma albino sio watu sio loh! au wenyewe hawataki haki zao
Why people are so hung up on homosexuality is beyond me!

tuambie ukweli mwaya ukatili wa albinos, ndoa za watoto, ubakaji hakuna anayesema lakini hili la ushoga mpk mapovu yanatutoka looh!

usiniache na mm dunia naona imeshanishinda siwezi vumilia!nina mpango wa kuhama sayari_nakwenda sayari ya mars!....sitapenda moyo wangu ushuhudie upuuzi huu.
hata mm nashangaa kwann hawalioni hili loh! vikongwe na ma albino sio watu sio loh! au wenyewe hawataki haki zao
Usijali feis buku,....for good and for bad_tuko pamoja.usiniache na mm dunia naona imeshanishinda siwezi vumilia!
umeona eeeeeeee!hapo tu ndipo ugomvi unapoanzia.. na serikali ya awamu ya nne..