DEVINE
JF-Expert Member
- Mar 11, 2011
- 536
- 86
Tunapoelekea; cku unakwenda kwa wazazi unawaambia unataka kuoa wanakuuliza 'je unaoa mwanaume au mwanamke?'
au unakwenda kuchumbia wakwe wanakuuliza 'unamtaka binti yetu au kaka yake?'
na kwenye ndoa wivu utaongezeka hadi kwa wanaume wenzako mkeo anakuja juu..Au unapiga sound demu unakuja kushtuka ni....!
(malizia)