Pale tu mashoga walipo tambuliwa.

Pale tu mashoga walipo tambuliwa.

DEVINE

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2011
Posts
536
Reaction score
86
Tunapoelekea; cku unakwenda kwa wazazi unawaambia unataka kuoa wanakuuliza 'je unaoa mwanaume au mwanamke?'
au unakwenda kuchumbia wakwe wanakuuliza 'unamtaka binti yetu au kaka yake?'
na kwenye ndoa wivu utaongezeka hadi kwa wanaume wenzako mkeo anakuja juu..Au unapiga sound demu unakuja kushtuka ni....!
(malizia)
 
Mungu aepushe mbali isijetokea hapa tz, waendelee kujificha hivyo, hivyo. Hiyo ni laana kuliko laana zote hapa duniani. Mwanaume kujigeuza wa kike! Laana.
 
Why people are so hung up on homosexuality is beyond me!

David Cameron anazungumzia haki za binadamu kuhusiana na ushoga watu wanatoa mapovu. Lakini kila mara tunasikia jinsi albinos wanavyonyanyaswa na kufanyiwa ukatili lakini hata tone la povu hakuna.

Vipaumbele vyetu vikoje sisi? Kwa jinsi watu walivyokomalia kumpinga Cameron kama wangeukomalia ukatili dhidi ya ndugu zetu albinos nadhani tatizo lingepungua kwa kiasi kikubwa sana.

Na kwa jinsi ambavyo tulimkomalia Cameron kama tungeukomalia ufisadi, umaskini, na uongozi mbovu mbona tungekuwa mbali. Watu mipovu hiyo utadhani sabuni ya erio kisa Cameron kasema msiwanyanyase mashoga.

Hivi kati ya ushoga na ukatili dhidi ya albinos kipi cha muhimu zaidi?
 
huyu Mr.Gay Cameron kaleta kizaazaa cha mwaka.Nalog off
 
hata mm nashangaa kwann hawalioni hili loh! vikongwe na ma albino sio watu sio loh! au wenyewe hawataki haki zao
 
tuambie ukweli mwaya ukatili wa albinos, ndoa za watoto, ubakaji hakuna anayesema lakini hili la ushoga mpk mapovu yanatutoka looh!
 
endeleeni kujipambania, jitafutieni haki zenu nanyi mtamburiwe.
 
Why people are so hung up on homosexuality is beyond me!

David Cameron anazungumzia haki za binadamu kuhusiana na ushoga watu wanatoa mapovu. Lakini kila mara tunasikia jinsi albinos wanavyonyanyaswa na kufanyiwa ukatili lakini hata tone la povu hakuna.

Vipaumbele vyetu vikoje sisi? Kwa jinsi watu walivyokomalia kumpinga Cameron kama wangeukomalia ukatili dhidi ya ndugu zetu albinos nadhani tatizo lingepungua kwa kiasi kikubwa sana.

Na kwa jinsi ambavyo tulimkomalia Cameron kama tungeukomalia ufisadi, umaskini, na uongozi mbovu mbona tungekuwa mbali. Watu mipovu hiyo utadhani sabuni ya erio kisa Cameron kasema msiwanyanyase mashoga.

Hivi kati ya ushoga na ukatili dhidi ya albinos kipi cha muhimu zaidi?

Kaka, Albino na shoga(Mse...nge) ni vitu viwili tofauti
Albino kesi yao ni ya mauaji hawa watu wanauawa wanakatwa viungo kiukatili na wao hawakupenda kuwa albino. ndio maana hao tunawaita walemavu wa ngozi

sasa hawa mase...nge, shoga, machoko.... wanajitakia wenyewe na wanafanya kwa matakwa yao na ni kinyume na utaratibu na mila zetu ndio maana nazipinga.

mimi nadhani wanaohusika na ushoga (mlaji na mliwaji) should be killed.

nawasilisha
 
Why people are so hung up on homosexuality is beyond me!

David Cameron anazungumzia haki za binadamu kuhusiana na ushoga watu wanatoa mapovu. Lakini kila mara tunasikia jinsi albinos wanavyonyanyaswa na kufanyiwa ukatili lakini hata tone la povu hakuna.

Vipaumbele vyetu vikoje sisi? Kwa jinsi watu walivyokomalia kumpinga Cameron kama wangeukomalia ukatili dhidi ya ndugu zetu albinos nadhani tatizo lingepungua kwa kiasi kikubwa sana.

Na kwa jinsi ambavyo tulimkomalia Cameron kama tungeukomalia ufisadi, umaskini, na uongozi mbovu mbona tungekuwa mbali. Watu mipovu hiyo utadhani sabuni ya erio kisa Cameron kasema msiwanyanyase mashoga.

Hivi kati ya ushoga na ukatili dhidi ya albinos kipi cha muhimu zaidi?

kwa hiyo unataka watu wakae kimya kwa kuwa kwa makosa mengine walikaa kimya? Yote ni makosa na yote yanafaa kupingwa kwa nguvu zote, pengine watu ndio wameanza mwamko wa kupinga maovu.
 
nina mpango wa kuhama sayari_nakwenda sayari ya mars!....sitapenda moyo wangu ushuhudie upuuzi huu.
 
hata mm nashangaa kwann hawalioni hili loh! vikongwe na ma albino sio watu sio loh! au wenyewe hawataki haki zao

kweli kuna watu akili zao ni mapovu! Ushoga ni jambo ambalo ni world wide na albino kuchinjwa ni hapa tz. Pia tunapinga vikali hii laana kwa sababu Western's wanataka ku-impliment their foolish ways of life in our continent!
 
Maani%* waseng* na mabakhash* should be killed! DUNIA IMESHANISHINDA SASA!
 
hapo tu ndipo ugomvi unapoanzia.. na serikali ya awamu ya nne..
 
Balaaa hili loo; eti huku uingereza ukimshika wanaume mwenzako mabega tu,eti unamchukua.
 
Back
Top Bottom