Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha google inarahisisha maisha, itafika mahali unamuuliza google akusaidie kuchagua nguo dukani maana huelewi ipi itakupendeza‘Hi Google, based on everything you know about cars, and based on everything you know about me (including my needs, my habits, my views on global warming, and even my opinions about Middle Eastern politics) – what is the best car for me?’
Kwani google maana yake nini mkuu. Maana tusije tukawa tunawa ingiza watu mkenge bila kujua hapa.‘Hi Google, based on everything you know about cars, and based on everything you know about me (including my needs, my habits, my views on global warming, and even my opinions about Middle Eastern politics) – what is the best car for me?’
🤣Halafu waongo sana. Wanakurubuni kwamba hawatatumia taarifa zako za siri, lakini utashangaa in unaletewa matangazo ambayo yanahusiana na mambo unayopendelea.
Acheni kujidanganya kwani google ni nini mkuu na kazi yake ni niniKuna generation ya mazuzu inakuja!
Acheni kujidanganya kwani google ni nini mkuu na kazi yake ni nini
Ni kweli..Mfano mdogo angalia sasa matumizi ya calculator kwa watoto wa O'Level.
Utasema ni kukua kwa technology ila mtoto anapuguza uwezo wake binafsi na huko mbele hata 2 × 3 watahitaji calculator.
Mambo mengine angalia tunajenga au tunabomoa?
Hakika....Nafikiri tunapo elekea, tunaenda kuwekea watoto wanao zaliwa electronics card