Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
🤣Jana nilikuwa najisikia vibaya ikanibidi nimcheki daktari wangu Google nijue Nini shida...😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣Jana nilikuwa najisikia vibaya ikanibidi nimcheki daktari wangu Google nijue Nini shida...😂
Hapa niko venue nimemaliza kipindi. Hata lecturer mwenyewe anatumia Google sembuse sisi.WANACHUO WATASIKIKA WAKISEMA
worship google the one Search engine who gives us answers
praise google for giving us the needs of our hearts
Tamaduni zenu ni zipi ?Je kitafika kipindi kwa mamlaka zetu Kuwa na mfumo wetu wa INTERNET ambao utachuja ama KUZUIA maudhui ya SITES ambazo zinakuwa funded na "mamlaka za nje zinazotupinga"?!!!
Dunia iliyoendelea iko katika USHINDANI wa kutengeneza mifumo ya INTERNET COMPANIES ili wazidi kupaa KIUCHUMI on expenses of us all(developing countries).
Je ni kwa kiwango gani haya makampuni ya INTERNET ya nje yamekuwa yakisukuma AGENDA ya kutubrain wash ili kuendeleza PROPAGATIONS na PROPAGANDA ZAO dhidi ya TAMADUNI na MAISHA YETU KWA UJUMLA?!!!
Je hizi tawala za nje ni kweli zina nia NJEMA....nia RAFIKI ya win-win situation kwa hizi nchi zetu?!!!
Vijana na vizazi tuko mtatizoni maana maisha yanayoonekana MITANDAONI yanavutia mno...ila ni sawa na KEKI iliyotengenezwa kwa "unga wa muhogo" na juu yake ikawekwa ICING SUGAR...
Binadamu si ROBOT....ila kidogokidogo tunatengenezwa tuwe na "roho" za KIROBOTI ambazo hazitoona TIJA YA KUWA HURU kama WAAFRIKA....
Miroboti hiyo ITAJIKANA...
Miroboti hiyo ITAJIKATAA...
Miroboti hiyo ITAJITUSI....
Kazi kwetu vijana wa KIAFRIKA na WANAOTOKA NYONGANI MWETU....
Muuza Al Kasus
Tandale
Ndiyo kazi ya ubunifu na teknolojia hiyo. Na sasa hii AI ndiyo inakuja maliza kila kitu. IBM wana hadi system ya kusaidia wana sheria katika kesi, inauwezo wa kupitia kesi nyingi ndani ya dakika kadhaa, aka quote vifungu na kadhalika. Huku Elon Musk na kundi lake wametengeneza mfum unaoweza kuupa paragraph ya story au kipande cha poem au habari ikakuandikia hata page nzima theme ile ile na usijue kuwa imeandikwa na system.Google inadumaza akili za watu kwa kiasi fulani mtu kaulizwa swali kidogo hataki kufikiria wala kushughulisha ubongo utasikia ngoja tugoogle
mambo ya science na technologia ya billgate hayo‘Hi Google, based on everything you know about cars, and based on everything you know about me (including my needs, my habits, my views on global warming, and even my opinions about Middle Eastern politics) – what is the best car for me?’
SincerelyHahaha google inarahisisha maisha, itafika mahali unamuuliza google akusaidie kuchagua nguo dukani maana huelewi ipi itakupendeza
Za kiafrika za kitanzania....Tamaduni zenu ni zipi ?
mimi huwa sitaki kuumiza kichwa kwanza nikitumia kichwa changu nahisi ni misuse ya kichwa nikipewa swali msaada wangu u katika googleHapa niko venue nimemaliza kipindi. Hata lecturer mwenyewe anatumia Google sembuse sisi.
Kuvaa suti au kingozi cha ng'ombe cha kufunika dhakariZa kiafrika za kitanzania....
Hapana mkuu....Kuvaa suti au kingozi cha ng'ombe cha kufunika dhakari
Maswali hayajibiwi na Google.Hello Google, i belive hell and heaven both exist. Am i going to hell or heaven?
‘Hi Google, based on everything you know about cars, and based on everything you know about me (including my needs, my habits, my views on global warming, and even my opinions about Middle Eastern politics) – what is the best car for me?’
Kwa hiyo wewe umedhani hilo nililoandika hapo linawezekana hata kwa content creators? Hapa tunafurahisha jukwaaMaswali hayajibiwi na Google.
Yanajibiwa na Content creators.
🤣Hello Google, i belive hell and heaven both exist. Am i going to hell or heaven?
😲🤣mimi huwa sitaki kuumiza kichwa kwanza nikitumia kichwa changu na hisi ni misuse ya kichwa nikipewa swali msaada wangu u katika google
maswali ya UE google huniongoza
Who owns the data?Maswali hayajibiwi na Google.
Yanajibiwa na Content creators.