Pale tutakapokuwa tumekabidhi maisha yetu kwa Google

Tuendako tutakubuhu katika kutafuta na kununua SEX TOYS mitandaoni...

Tuendako tutajifungisha ndoa na SEX TOYS...kwani "YAKO yenye SHAPES za kila namna kumridhisha MTUMIAJI.....

Hatari....
Hatari kubwa...
 
WANACHUO WATASIKIKA WAKISEMA

worship google the one Search engine who gives us answers

praise google for giving us the needs of our hearts
Hapa niko venue nimemaliza kipindi. Hata lecturer mwenyewe anatumia Google sembuse sisi.
 
Tamaduni zenu ni zipi ?
 
Google inadumaza akili za watu kwa kiasi fulani mtu kaulizwa swali kidogo hataki kufikiria wala kushughulisha ubongo utasikia ngoja tugoogle
Ndiyo kazi ya ubunifu na teknolojia hiyo. Na sasa hii AI ndiyo inakuja maliza kila kitu. IBM wana hadi system ya kusaidia wana sheria katika kesi, inauwezo wa kupitia kesi nyingi ndani ya dakika kadhaa, aka quote vifungu na kadhalika. Huku Elon Musk na kundi lake wametengeneza mfum unaoweza kuupa paragraph ya story au kipande cha poem au habari ikakuandikia hata page nzima theme ile ile na usijue kuwa imeandikwa na system.
 
mambo ya science na technologia ya billgate hayo
 
Hapa niko venue nimemaliza kipindi. Hata lecturer mwenyewe anatumia Google sembuse sisi.
mimi huwa sitaki kuumiza kichwa kwanza nikitumia kichwa changu nahisi ni misuse ya kichwa nikipewa swali msaada wangu u katika google
maswali ya UE google huniongoza
 
Kuvaa suti au kingozi cha ng'ombe cha kufunika dhakari
Hapana mkuu....

Kuzilinda tamaduni zetu si kurudia kujifunika "vigozi" vya ng'ombe...

Kwani hata hao waliotuletea SUTI hawakuanza na nguo hizo....walitokea katika MANYOYA YA WANYAMA....

Ninachokiongelea ni ule UJAMAA wetu wa KIAFRIKA...heshima zetu...tunu....uadhimu wa ndoa zetu...uadhimu wa kuzilinda FAMILIA ZETU zenye BABA MAMA NA WATOTO......
 
Kuna local fundi wa mitambo ya ujenzi alishasema yeye hawezi kugoogle wala kutumia komputer maana kichwa chake tayari ni computer tosha. Hawezi kutumia akili ya mtu iliyowekwa kwenye komputer.
Kuna grader iliwashinda mafundi wanakuja na computer zao wanachomeka nyaya mara computer haisomia alikuja yeye na toolbox lake kamwambia Op hebu washa nisikilize muugurumo akawasha akamwambi zima.
Haya fungueni kwenye horse pipe filter halafu msafishe Kuna vumbi imejaa hapo. Then muwashe muendelee na kazi.
Kuna watu ni gifted dunia hii acheni kabisa.​
 
Maswali hayajibiwi na Google.

Yanajibiwa na Content creators.
Who owns the data?
If we want to prevent the concentration of all wealth and power in the hands of a small elite, the key is to regulate the ownership of data. In ancient times land was the most important asset in the world, politics was a struggle to control land, and if too much land became concentrated in too few hands – society split into aristocrats and commoners. In the modern era machines and factories became more important than land, and political struggles focused on controlling these vital means of production. If too many of the machines became concentrated in too few hands – society split into capitalists and proletarians. In the twenty-first century, however, data will eclipse both land and machinery as the most important asset, and politics will be a struggle to control the flow of data. If data becomes concentrated in too few hands – humankind will split into different species.

The race to obtain the data is already on, headed by data-giants such as Google, Facebook, Baidu and Tencent. So far, many of these giants seem to have adopted the business model of ‘attention merchants’. They capture our attention by providing us with free information, services and entertainment, and they then resell our attention to advertisers. Yet the data-giants probably aim far higher than any previous attention merchant. Their true business isn’t to sell advertisements at all. Rather, by capturing our attention they manage to accumulate immense amounts of data about us, which is worth more than any advertising revenue. We aren’t their customers – we are their product.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…