Pale tutakapokuwa tumekabidhi maisha yetu kwa Google

Kweli ilimu pana
 
Mpaka Tulipo Fika ..Atuna uwezo tena wa Kuzuia nguvu Ya Technology..Dunia inakwenda kupunguza utumiaji wa Nguvu na Akili nyingi kwa Binadamu..
 
I salute you broh
 
Wanasema miaka michache ijayo nchi za wenzetu watakua hawahitaji man power tena maana AI itakua inatumika kutoa huduma karibuni zote, mpaka sasa China inaongoza kwa kutumia AI, tunapoelekea tutakua na dunia iliojaa watu wasio na ajira, full stressed people na itakua ni hatari
 
Google muuni sana kumbe sie ndie tunaempikia taarifa.Kuna wakati nilitoka Dar to Mikumi akaweza ku calculate dakika nitakazo tumia, kimbembe kilianza napoanza toka Mikumi kwenda Ifakara to Mlimba hadi huko Malinyi hakafeli kabisa.
 
Negativity will land you in total DARKNESS!!
 
Jana nilikuwa najisikia vibaya ikanibidi nimcheki daktari wangu Google nijue Nini shida...[emoji23]
Bila shaka dalili alizokuambia Ni za ukimwi[emoji1787]

Google Ina ufala sana
 
Albert Enstein aliwahi sema kwa nini ukalili maformula mengi wakati unaweza tu chukua kitabu na kuangalia hio formula.
Waafrika tunajifanya wajuaji kuliko wazungu walioanzisha vitabu/maktaba kisha wakaacha wakaanzisha internet.
Mleta mada unataka tusigoogle tuwe wajinga kama watu wa zamani ambao walikuwa wanamtukuza msomi.
Sasa hivi anachokijua msomi nawe ambae hujasoma unanafasi ya kukijua hivyo hakuna kubabaishana google ana kila kitu.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…