Pale unapokuwa unapiga Stori na Mpenzi 'Y', ghafla ulimi unakusaliti kisha Mpenzi 'Y' unamuita kwa jina la Mchepuko mwingine

[emoji28][emoji28][emoji28], Hapo alikuzidi ujanja.. Vipi baadae ulikuja kujua au jamaa alishinda game?
niseme tu alishinda sababu nilikuja kujua baada ya mwaka na miezi kadhaa,,sasa huo si ushindi[emoji23]
 
niseme tu alishinda sababu nilikuja kujua baada ya mwaka na miezi kadhaa,,sasa huo si ushindi[emoji23]
Nouma sana... Nina imani siku ikija kutokea tena... Hakutakuwa na maelezo kabisa πŸ˜€πŸ˜€
 
Nouma sana... Nina imani siku ikija kutokea tena... Hakutakuwa na maelezo kabisa [emoji3][emoji3]
yani itakua ni hukumu bila wakili yoyote[emoji1487][emoji1]
 
πŸ˜‚ nilishamuita mtu gift nikanusurika ilibidi nimdanganye she is my precious gift ndio akanielewa.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…