Mi ilinikuta maandalizi yashakamilika kabisa bado tu kisu kiwekwe kwenye ala, sijui nilijichanganya wapi nikaropoka jina la pisi nyingine
Na bora hata pisi yenyewe ningekuwa naipenda sana ningesema upendo ulinisukuma, ni shetani tu akiamua kufanya yake hakosi sababu
Na asikwambie mtu kuwa demu akilegea unaweza fanya chochote, maana alivyoswitch kutoka kwenye ile mood na kuwa ninja ghafla mpaka leo sipati majibu mademu huwa wanatuigizia au la
Maana nilinyimwa mchezo wakati tayari tupo kwenye suti ya asili😂