PreGE2025 Pale Wasafi anayejielewa ni ni Edo tu, CHADEMA wanateswa na denial

PreGE2025 Pale Wasafi anayejielewa ni ni Edo tu, CHADEMA wanateswa na denial

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wana ujinga mkubwa sana hawa wapuuzi. Mtu akija na wazi mbadala tu basi wanamuita Kila aina ya majina na kumtusi. Hawa ndo maana Mungu anawalaani hawafanikiwi tu. Na safari, nawaapia, Chama kikuu Cha upinzani kinaenda kuwa ACT
Hao ACT mmeanza kuwaahidi muda mrefu kuwa chama kikuu cha upinzani, lakini kila mkiingia kwenye uchaguzi mnakuta kura za cdm ni nyingi kuliko za ccm na ACT, hapo mnaona bora mpore uchaguzi tu. Cdm hawajivunii kuwa chama kikuu cha upinzani, naona mnadhani cdm wanaona ni deal sana. Cdm wanataka uchaguzi wa haki, matokea ya haki yataamua nani atakaa wapi.
 
Kila mtu anakubaliana na wewe ila wakati unataka kufanya jambo usipoangalia nature ya watu wako utajikuta uko peke yako so we unafikir njia nzur ya ni kukaa nje ya uchaguz au ni kupambana ndani ya uchaguz
mara ngapi wamepambana ndani ya uchaguzi na wameambulia nini
 
Oscar Oscar una Intelligence duni na huna maturity kwenye Political Science. It is better to shut up kuficha Ujinga.

Big Up Edo, huwa napenda kukusikiliza na most of the time upo kwenye Present Moment and realistic:

Baadhi ya Wanachama wa CHADEMA wapo kwenye DENIAL ya kukubali kuwa Lissu ndio Mwenyekiti wao … hii ndio shida na wapo standby kukosoa… they are fault finders

No reform ni continuation ya Phylosophy ya Mbowe…. Sasa kama mlikuwa mnabeep…..then NOW ndio right moment.

Kumtoa binadamu kwenye Comfort zone isn’t so easy .

There is no right time , because time itself… doesn’t exist …. It is just a notion and abstract of change !

Hatuna maana ya Kuingia kwenye Uchaguzi ambao Samia by 100% anaamini yeye ni Rais Tayari. Tume nzima ipo chini ya Presidential department.

Haitokuja kutokea CCM iwaambie kuwa huu ndio muda sahihi…. Hivyo tufanye mabadiliko kwenye Uchaguzi…. It will never happen .

Rais Khalfan Kikwete alisimamia mchakato wa maboresho ya katiba,

akazuga zuga weee baadae akamuita Mzee Opportunitist … mimi naona tufanye uchaguzi kwanza… maboresho ataendelea nayo JPM sawa mzee… maisha yakaendelea.

Alipofika JPM, akasema wqzi Kipaumbele changu sio Katiba…na akapiga watu spana snaa wanaompinga.

2020 tukafanyiwa Uchafuzi hadi babu Tale na form 4 leavers wengine wakaingia bungeni

Alipokuja Hassan baada ya asali kuingia….Nae akasema kwa sasa katiba sio la muhimu… tuna ya muhimu mengi…

Kwa hii trend , ni mpuuzi alone ndio ataamini baada ya uchaguzi CCM ita reconcile …kwenye katiba na maboresho ya uchaguzi….. that will never happen.

Time is now …. it is now or NEVER…. No Reform No election hakuhitaji BUSARA yoyote kwenye hili.

There is no great genius without a touch of madness -Aristotle

Dr Megalodon Mushi , PhD Fellow
Ottawa University,
WHO Regional Office
Rue 52, Ottawa
Canada
Naunga mkono hoja, no Reform no Election, haiwezekani kuingia uchaguzi ambao eti ukipitishwa kuwa mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM eti tayari unakuwa Rais, tunataka uchaguzi free and FAIR ili wananchi wawe na opportunity ya kumchagua wanayemtaka na sio wanachaguliwa mtu na system
 
Kila mtu anakubaliana na wewe ila wakati unataka kufanya jambo usipoangalia nature ya watu wako utajikuta uko peke yako so we unafikir njia nzur ya ni kukaa nje ya uchaguz au ni kupambana ndani ya uchaguz
Kila mtu anakubaliana na wewe ila wakati unataka kufanya jambo usipoangalia nature ya watu wako utajikuta uko peke yako so we unafikir njia nzur ya ni kukaa nje ya uchaguz au ni kupambana ndani ya uchaguz

Kila mtu anakubaliana na wewe ila wakati unataka kufanya jambo usipoangalia nature ya watu wako utajikuta uko peke yako so we unafikir njia nzur ya ni kukaa nje ya uchaguz au ni kupambana ndani ya uchaguz
H
 
Wana ujinga mkubwa sana hawa wapuuzi. Mtu akija na wazi mbadala tu basi wanamuita Kila aina ya majina na kumtusi. Hawa ndo maana Mungu anawalaani hawafanikiwi tu. Na safari, nawaapia, Chama kikuu Cha upinzani kinaenda kuwa ACT
Tunataka kura za wananchi ziheshimiwe,Yani watu wafe ili Act wawe chama kikuu cha upinzani.
 
Watu kupinga ni sawa ni mtazamo wao. Lakini haiwezi kusimamisha reform

Nilishawahi kusema…. CCM haiwezi kufanya haki kwa amani na upendo. Kufanya hivo ni kujiweka machinjioni

Shida CCM hakuna watu SMART . Kungekuwa na watu SMARt wangeona way forward kuwa time na mazingira vimebadilika snaa , jamii ya sasa sio ile ya Nyerere hivyo ku maintain amani wange fanya reform ya kila kitu other wise huko mbeleni watu wanaweza kumwaga hata damu…. Hii inahitaj smart people only

Mfano… USA waliamua kuachana na biashara ya utumwa baada ya kugundua kua in the near future hawa watumwa watakuja kudai haki zao na inaweza kuwa kwa fujo and so forth

Mimi naamini CCM itakuja kutoka but zinaweza kutokea fujo maana Sijaona CCM mwenye akili as of now . Wajifunze kwa Kenya .

Watanzania sasa wanasoma na wanaelewa mambo…. Wangekua na akili , CCM WANGEONA HII HATARI
LAKINI pamoja na elim kupanuka, bado wanaendelea kutupelekesha na katiba Ambayo iliandikwa na Nyerere akiwa na kundi lake la CCM huku wanavuta sigara na kunywa pombe
 
Naunga mkono hoja, no Reform no Election, haiwezekani kuingia uchaguzi ambao eti ukipitishwa kuwa mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM eti tayari unakuwa Rais, tunataka uchaguzi free and FAIR ili wananchi wawe na opportunity ya kumchagua wanayemtaka na sio wanachaguliwa mtu na system
Sahihi

Wananchi ndio waamue nani awe Rais , sio genge la wahuni wa CCM

Hapa tunapoongea Samia anaouhakikq 100 kuwa yeye ndio Rais …… hata kauli zake unamsikia akionesha hivo

hata hivo seems wapinzani wa zamani hawakuwa aggressive, inakuaje walikuwa wanaingia kwenye uchaguzi kama huo?

Ni kupoteza hela tu
 
Kupewa nchi nani? Kumbe ni mambo ya kupeana tena ?
 
Waliambulia wabunge 73
unaongea kama umekatika kichwa, miaka mi tano nyuma walipata nini

unaona wabunge 73 kati ya 300 ni jambo la wao kuendela kuhangaika na mazingaombwe
 
Siku ccm itakapoona kuwa chadema sio maadui zao
Chakandumuz sio maadui wa ccm… hata 2015 ccm waliwapa mgombea urais

Na mwaka huu tena ccm wamewarudishia mzee wa mihogo chakandumuz

Chakandumuz ni tawi la ccm
 
Back
Top Bottom