Sajo
Platinum Member
- Nov 8, 2010
- 4,540
- 8,256
Kwenye picha alikuwepo Mwamba Tuvushe!! Sasa ukiona mwamba tuvushe yupo ujue tayari hela imetembeaChadema haimuoni ccm kuwa adui wake ndo mana Chadema walimpa tuzo mwenyekiti wa ccm
Kwenye picha alikuwepo Mwamba Tuvushe!! Sasa ukiona mwamba tuvushe yupo ujue tayari hela imetembeaChadema haimuoni ccm kuwa adui wake ndo mana Chadema walimpa tuzo mwenyekiti wa ccm
Hayo mambo ya pesa kutembea Mm sijui mana haikuwa hadharani, ila tuzo ilikuwa hadharani na ndo nna uhakika nayo.Kwenye picha alikuwepo Mwamba Tuvushe!! Sasa ukiona mwamba tuvushe yupo ujue tayari hela imetembea
Mzee punguza mhemko tunareason hapa.unaongea kama umekatika kichwa, miaka mi tano nyuma walipata nini
unaona wabunge 73 kati ya 300 ni jambo la wao kuendela kuhangaika na mazingaombwe
Hakupewa na cdm, bali alipewa na kiongozi wa G55 ambaye ni Mbowe. Na hawa G55 saa hii wanajiliza bada ya kunyang'anywa duka na kina Lisu.Chadema haimuoni ccm kuwa adui wake ndo mana Chadema walimpa tuzo mwenyekiti wa ccm
Wakati huo mbowe alikuwa ni nan hapo Chademani?Hakupewa na cdm, bali alipewa na kiongozi wa G55 ambaye ni Mbowe. Na hawa G55 saa hii wanajiliza bada ya kunyang'anywa duka na kina Lisu.
Alikuwa dalali.Wakati huo mbowe alikuwa ni nan hapo Chademani?
Kushiriki uchaguzi ni mpaka uchaguzi uwepo sasa utashiriki kitu ambacho hakipoKila mtu anakubaliana na wewe ila wakati unataka kufanya jambo usipoangalia nature ya watu wako utajikuta uko peke yako so we unafikir njia nzur ya ni kukaa nje ya uchaguz au ni kupambana ndani ya uchaguz
SawaAlikuwa dalali.
Haina maana ya kufanya uchaguzi kama mtu anajua tayari yy ni mshindi katika njia wanazozijua Tena sio Kwa kutegemea boksi la kura Bali Kwa makandokando yao, ni upotevu wa muda na pesa wakati nchi ni maskini na inategemea mikopo kusurvive, ifike mahali thamani ya kura ya mtu ionekane siyo watu wanapiga alafu baadae watu wanaingia na maboksi yao ambayo wametiki wenyewe Kwa mgombea wao ili kupindisha machaguo ya wananchiSahihi
Wananchi ndio waamue nani awe Rais , sio genge la wahuni wa CCM
Hapa tunapoongea Samia anaouhakikq 100 kuwa yeye ndio Rais …… hata kauli zake unamsikia akionesha hivo
hata hivo seems wapinzani wa zamani hawakuwa aggressive, inakuaje walikuwa wanaingia kwenye uchaguzi kama huo?
Ni kupoteza hela tu
Una uhakika lakini kuwa walimpa mwenyekiti wa ccm???Hayo mambo ya pesa kutembea Mm sijui mana haikuwa hadharani, ila tuzo ilikuwa hadharani na ndo nna uhakika nayo.
iyo reason unayo sasa mkuuMzee punguza mhemko tunareason hapa.
Unajua maana ya kufikir tofaout mkuuiyo reason unayo sasa mkuu
Hapana, walimpa mwnykt wa chaumaUna uhakika lakini kuwa walimpa mwenyekiti wa ccm???