PreGE2025 Pale Wasafi anayejielewa ni ni Edo tu, CHADEMA wanateswa na denial

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wana ujinga mkubwa sana hawa wapuuzi. Mtu akija na wazi mbadala tu basi wanamuita Kila aina ya majina na kumtusi. Hawa ndo maana Mungu anawalaani hawafanikiwi tu. Na safari, nawaapia, Chama kikuu Cha upinzani kinaenda kuwa ACT
Hao ACT mmeanza kuwaahidi muda mrefu kuwa chama kikuu cha upinzani, lakini kila mkiingia kwenye uchaguzi mnakuta kura za cdm ni nyingi kuliko za ccm na ACT, hapo mnaona bora mpore uchaguzi tu. Cdm hawajivunii kuwa chama kikuu cha upinzani, naona mnadhani cdm wanaona ni deal sana. Cdm wanataka uchaguzi wa haki, matokea ya haki yataamua nani atakaa wapi.
 
Kila mtu anakubaliana na wewe ila wakati unataka kufanya jambo usipoangalia nature ya watu wako utajikuta uko peke yako so we unafikir njia nzur ya ni kukaa nje ya uchaguz au ni kupambana ndani ya uchaguz
mara ngapi wamepambana ndani ya uchaguzi na wameambulia nini
 
Naunga mkono hoja, no Reform no Election, haiwezekani kuingia uchaguzi ambao eti ukipitishwa kuwa mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM eti tayari unakuwa Rais, tunataka uchaguzi free and FAIR ili wananchi wawe na opportunity ya kumchagua wanayemtaka na sio wanachaguliwa mtu na system
 
 
Wana ujinga mkubwa sana hawa wapuuzi. Mtu akija na wazi mbadala tu basi wanamuita Kila aina ya majina na kumtusi. Hawa ndo maana Mungu anawalaani hawafanikiwi tu. Na safari, nawaapia, Chama kikuu Cha upinzani kinaenda kuwa ACT
Tunataka kura za wananchi ziheshimiwe,Yani watu wafe ili Act wawe chama kikuu cha upinzani.
 
Watu kupinga ni sawa ni mtazamo wao. Lakini haiwezi kusimamisha reform

Nilishawahi kusema…. CCM haiwezi kufanya haki kwa amani na upendo. Kufanya hivo ni kujiweka machinjioni

Shida CCM hakuna watu SMART . Kungekuwa na watu SMARt wangeona way forward kuwa time na mazingira vimebadilika snaa , jamii ya sasa sio ile ya Nyerere hivyo ku maintain amani wange fanya reform ya kila kitu other wise huko mbeleni watu wanaweza kumwaga hata damu…. Hii inahitaj smart people only

Mfano… USA waliamua kuachana na biashara ya utumwa baada ya kugundua kua in the near future hawa watumwa watakuja kudai haki zao na inaweza kuwa kwa fujo and so forth

Mimi naamini CCM itakuja kutoka but zinaweza kutokea fujo maana Sijaona CCM mwenye akili as of now . Wajifunze kwa Kenya .

Watanzania sasa wanasoma na wanaelewa mambo…. Wangekua na akili , CCM WANGEONA HII HATARI
LAKINI pamoja na elim kupanuka, bado wanaendelea kutupelekesha na katiba Ambayo iliandikwa na Nyerere akiwa na kundi lake la CCM huku wanavuta sigara na kunywa pombe
 
Sahihi

Wananchi ndio waamue nani awe Rais , sio genge la wahuni wa CCM

Hapa tunapoongea Samia anaouhakikq 100 kuwa yeye ndio Rais …… hata kauli zake unamsikia akionesha hivo

hata hivo seems wapinzani wa zamani hawakuwa aggressive, inakuaje walikuwa wanaingia kwenye uchaguzi kama huo?

Ni kupoteza hela tu
 
Kupewa nchi nani? Kumbe ni mambo ya kupeana tena ?
 
Waliambulia wabunge 73
unaongea kama umekatika kichwa, miaka mi tano nyuma walipata nini

unaona wabunge 73 kati ya 300 ni jambo la wao kuendela kuhangaika na mazingaombwe
 
Siku ccm itakapoona kuwa chadema sio maadui zao
Chakandumuz sio maadui wa ccm… hata 2015 ccm waliwapa mgombea urais

Na mwaka huu tena ccm wamewarudishia mzee wa mihogo chakandumuz

Chakandumuz ni tawi la ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…