Palestina inamjibu Donald Trump baada ya hotuba yake

Palestina inamjibu Donald Trump baada ya hotuba yake

Yakiletwa magari ya kuwahamisha viongozi wao ndiyo watakuwa wa kwanza kupanda ili wakae viti vvya mbele
Kama walishindwa kuwahamisha kwa mabomu for 15 months wataweza sasa hvi
 
Wabaki Gaza ila wakianzisha ugaidi tena watasagwa bila huruma
⚡️JUST IN: Hamas leader Izzat al-Rishq:

•We reject the statements of U.S. President Donald Trump, in which he called on our Palestinian people in the Gaza Strip to leave their homeland under the pretext of reconstruction.

•Trump’s statements are racist and a blatant attempt to liquidate our Palestinian cause and deny our legitimate national rights.

•Our people in Gaza have thwarted plans for displacement and forced expulsion under bombardment for more than fifteen months. They are deeply rooted in their land and will not accept any schemes aimed at uprooting them from their homeland.
>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Kiongozi wa Hamas Izzat al-Rishq:

•Tunakataa kauli za Rais wa Marekani Donald Trump, ambapo aliwataka watu wetu wa Palestina katika Ukanda wa Gaza kuondoka katika nchi yao kwa kisingizio cha ujenzi upya.

•Matamshi ya Trump ni ya kibaguzi na ni jaribio la wazi la kufuta dhamira yetu ya Palestina na kunyima haki zetu halali za kitaifa.

•Watu wetu huko Gaza wametatiza mipango ya kuhama na kufukuzwa kwa lazima chini ya mashambulizi ya mabomu kwa zaidi ya miezi kumi na tano. Wamekita mizizi katika ardhi yao na hawatakubali njama zozote zinazolenga kuwang’oa kutoka katika nchi yao.
 
Wanaukumbi.

⚡️🇵🇸🇺🇸BREAKING: Palestine responds to Donald Trump:

“For those who want to send the Palestinian people to a ‘nice place’, allow them to go back to their original homes in what is now Israel…the Palestinian people want to rebuild Gaza because this is where we belong.”

Source: @Palestine_UN
===============
⚡️🇵🇸🇺🇸BREAKING: Palestina inamjibu Donald Trump:

"Kwa wale wanaotaka kuwapeleka watu wa Palestina kwenye 'mahali pazuri', waruhusu warudi kwenye makazi yao ya asili katika eneo ambalo sasa ni Israeli ... watu wa Palestina wanataka kujenga upya Gaza kwa sababu hapa ndipo tunapostahili."

Chanzo: @Palestina_UN


View: https://x.com/suppressednws/status/1886912286591516827?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Trump ni fala tu hawezi kufanya anayoyasema hapa
 
Tunazungumzia USAID au ushoga?

Marekani na ushoga ni kama pipa na mfuniko

Hakuna raisi wa Marekani mwenye uwezo wa kupinga ushoga Marekani
Mashoga yamejaa kila kona Marekani Trump atafute vipi ushoga ni porojo tu. Anzee kufukuza basi mashoga jeshini na kwenye idara za serikali.y
 
Eti USA owning that piece of Land ! Yaani mfano uje Dar uhamishe watu kwa nguvu kuwapeleka Rwanda ukasema Dar ni ya kwako .. Huyuhuyu alisema wazungu wanaonewa ..
Aliulizwa wataenda wapi akasema hajui baada ya nchi za kiarabu kumwambia hatutahusika na mipango yeyote kuwaondoa Wapelestina, hoja za kipumbavu sana eti anaenda kutegua mabomu hayo mabomu nani kayarusha Gaza.
 
Wanaukumbi.

⚡️🇵🇸🇺🇸BREAKING: Palestine responds to Donald Trump:

“For those who want to send the Palestinian people to a ‘nice place’, allow them to go back to their original homes in what is now Israel…the Palestinian people want to rebuild Gaza because this is where we belong.”

Source: @Palestine_UN
===============
⚡️🇵🇸🇺🇸BREAKING: Palestina inamjibu Donald Trump:

"Kwa wale wanaotaka kuwapeleka watu wa Palestina kwenye 'mahali pazuri', waruhusu warudi kwenye makazi yao ya asili katika eneo ambalo sasa ni Israeli ... watu wa Palestina wanataka kujenga upya Gaza kwa sababu hapa ndipo tunapostahili."

Chanzo: @Palestina_UN


View: https://x.com/suppressednws/status/1886912286591516827?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Bad news is trump dont care, only concern yake ni america. Na yule bwana harudi nyuma
 
Sisi Wagalatia Trump anatusaidia kupinga ushoga
We kokrochi ya ya kitusi , kupinga ushoga ni msimamo wa waislam tangu dunia kuumbwa so huyo Trump kupinga kwake ushoga kwa maana sawa na uislam hakuhalalishi mambo yake mengine ya kijinga anayotaka kuyafanya gaza, chuki yako dhidi ya uislam na waislam ni sawa sawa tu na chuki yako dhidi ya wakongoman kule goma, nakusoma sana mabandiko yako, watusi mna roho mbaya sana nyie mbwa
 
Kuwahamisha kuwapeleka wapi?😀

Misri, Jordon, Saudia Arabia, Qatar, Syria wote wamemwambia Trump sisi hatuwezi kuhusika kwa namna yeyote ile kiwaondoa Wapelistina kwenye nchi yao.

Trump alivyokuwa punguani anaomba hawagawe kwenye hayo mataifa kisha Gaza wakakee Waisrael
😀😀

Kama ana nia njema alete ndege hawapakie hawapeleke Miami, Washington.
Hao hawawataki, ila watawapokea tu watake wasitake na watatoa hela ya kuijenga Gaza
 
Hao hawawataki, ila watawapokea tu watake wasitake na watatoa hela ya kuijenga Gaza
Huwenda una umri mdogo hufahamu vizuri Gaza endelea kujifariji, wameshindwa kuwaondoa kwa mabomu na maauji na mateso miezi 15.
 
Palestinian Islamic Jihad [PIJ] inamjibu Trump:

Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu

Rais Donald Trump, kwa kiburi chake, amewaweka watu wetu katika Ukanda wa Gaza kabla ya chaguo moja: kuhama. Anapaswa kukumbuka kwamba miezi 15 ya mashambulizi ya mabomu yasiyokoma, na tani 80,000 za silaha za Marekani, zilishindwa kuwaondoa. Je, sasa anafikiri kwamba taarifa za udanganyifu, za kibaguzi zilizofungwa katika ubinadamu wa uongo zitafikia kile ambacho mabomu hayangeweza?!

Watu wetu wa Palestina daima wamekuwa na chaguo la upinzani, njia ambayo wamefuata kwa zaidi ya karne - kabla ya Trump na baada yake.

Hakika ni jihadi ya ushindi au kufa kishahidi.
 
Back
Top Bottom