Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada dunia kuwakata hili jinga nalo linasema kuba ubaya gani toka lini hili gaidi shetani likawatia mema Wapalestina.
View: https://x.com/suppressednws/status/1887333407585137148?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Hahah🤣 wanatapata tu yeye na mwenzake wamejifungia juzi huko Marekani wakaja na ujinga wao dunia yeto imewakataa, baada ya kupitisha fikra zao wanaomba msaada Ulaya na Waarabu wate wa wamewatosa wameambiwa Gaza ni ya Palestina.Huyu mzee atakufa kifo kibaya sana. ameingia vitani kuwamaliza Hamas akashindwa ndio ataweza kuwahamisha? ndoto za kimweri hizi
Baada ya kauli ya Trump wanajitetea sasa.
Huyu Waziri mjinga sana anamdanganya nani eti waondoke kisha watarudi😬
View: https://x.com/ajenglish/status/1887373154341036072?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Shoga mzee wewe unatafuta basha kwa nguvu unajuaje kama nashinda mtandaoni kama na ushindi mtandaoni kutafuta mabwana wewe unanishambilia kwa kunitukana unatafutq sifa JF lazima upendi kuita hilo neno matako si umezoea kuambiwa na basha wako wakati anakutafuna anakuambia panua hayo😬Inaonekana Roho Inakuuma Sanaa kama Roho inakuuma Inabidi Uwende Gaza kusaidia sio unashinda mitandaoni kutukana Watu huku Umejificha ID Yako . Kama una Uchungu na Wapalestina Nenda Gaza matako wewe
Wewe unawatukana wapelestina eti wana lana jinga kabisa punguani yaani watu wanaporwa ardhi ya wanauliwa wewe unaiwata wana laana daaah wewe shoga mpumbavu sana.Wewe Watu Gani kila Nchi Inawakataa hata Waislamu wenzao wanawakataa, LANA SIO BURE
Wabaki Gaza ila wakianzisha ugaidi tena watasagwa bila huruma
Americans and westerners are ignorant of the region. When it comes to the Palestinian struggle, for the Arab masses, Palestine is the crown on their heads. They won't accept the erasure of the cause. It's the unifying symbol of the region that they are afraid of.Trump ni fala tu hawezi kufanya anayoyasema hapa
Mbona munamfuata Mohammad au yeye sio mtu?Dini yetu inapinga ushoga inatosha hatufiati mtu sisi😅 nyie walokole ndiyo mnaabudu mtu.
Kwani wewe ulisema kumuabudu au kumfuata?Nani alikuambia tunamuabudu Mtume Mohammad? Kama nyie mnavyomuamubudu Yesu.
Mbona Unautaja Sanaa Ushoga Inawezekana Wewe Ukawa Shoga Unatafuta Wanaume ufilwe Neno kidgo Shoga Tunawajua Nyie wavaa Vipensi Unakuwaga Mashoga kimya kimya na Madevu yenu Mashoga Mnajificha kwenye Swala 5 huku Mnagongwa Wengi Tunawajua Machoko.Wewe unawatukana wapelestina eti wana lana jinga kabisa punguani yaani watu wanaporwa ardhi ya wanauliwa wewe unaiwata wana laana daaah wewe shoga mpumbavu sana.
gelesha tu ndugu, wote wapo lengo moja. kwa upande wangu, tangu enzi za Biblia, Ufalme wa Israel ulipokuwepo, hata kwenye Biblia yote, eneo la Gaza limekuwa chini ya wapalestina (wafilisti) na ndio walipigana sana na Daudi mfalme wa Israel. hata ukiangalia kwenye makabila 12 ya Israel (Yakobo - Yakub), aliwagawia maeneo mengine yote isipokuwa Gaza. ipo vile hadi leo. kwahiyo waachwe tu, ila wakileta ugaidi watajuana na myahudi palepale. naona na wao pia wameelewa, wamejua wanataka kuondolewa mazima, jana wamejenga mahema mengi na kampeni ya hamas sasaivi ni kujenga mahema ili watu wabaki pale wasiondolewe. lakini Myahudi na trump wanasema pale bado kuna miili, kuna mahandaki, silaha na vitu vinavyotakiwa kusafishwa ili pawe salama. hiyo ni sababu ya msingi sana wanaitumia.⚡️BREAKING: Nchi za Umoja wa Ulaya zimekataa Mipango ya Trump ya kuwasafisha kikabila Wapalestina.
🇩🇪 FM ya Ujerumani Annalena Baerbock: "Ni wazi kwamba Gaza - kama Ukingo wa Magharibi na Jerusalem Mashariki - ni ya Wapalestina," Baerbock alisema, akionya kwamba kuwafukuza kwa nguvu raia kungekiuka sheria za kimataifa na kuchochea chuki zaidi.
🇫🇷Ufaransa: "Mustakabali wa Gaza lazima uandikwe si katika mtazamo wa udhibiti wa Taifa la tatu bali katika mfumo wa Taifa la Palestina la siku zijazo, chini ya uangalizi wa Mamlaka ya Palestina," taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Ufaransa ilisema.
"Ufaransa inasisitiza upinzani wake kwa kulazimishwa kwa wakaazi wa Palestina wa Gaza, ambayo itakuwa ukiukaji mkubwa wa sheria za kimataifa, shambulio dhidi ya matakwa halali ya Wapalestina, lakini pia kikwazo kikubwa kwa suluhisho la serikali mbili," iliongeza.
🇬🇧Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer alisema Wapalestina huko Gaza "lazima waruhusiwe nyumbani, lazima waruhusiwe kujenga upya, na tunapaswa kuwa pamoja nao katika ujenzi huo kwenye njia ya kufikia suluhu ya serikali mbili"
🇪🇸Mtangazaji wa FM Jose Manuel Albares wa Uhispania: “Gaza ni nchi ya Wagaza wa Palestina. Wapalestina wa Gaza lazima wabaki Gaza,"
Uhispania ilisisitiza kujitolea kwake kwa taifa la baadaye la Palestina ambalo linajumuisha Gaza kama sehemu ya eneo lake.
🇵🇱Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Poland Andrzej Szejna: "Kama ilivyo kwa Ukraine, ambapo tunasema kwamba huwezi kuamua kuhusu Ukraine bila Ukraine, ikiwa tunazungumzia mchakato wa amani. Vile vile, huwezi kuamua kuhusu Palestina bila Wapalestina. Huu ndio msimamo wa Poland," Szejna alisema.
🇸🇮Waziri wa Mambo ya Nje wa Slovenia Tanja Fajon alikosoa maoni ya Trump kama yanaakisi "kutojua kwa kina historia ya Palestina."
🏴Waziri wa Kwanza wa Uskoti John Swinney pia alilaani pendekezo hilo, akiita pendekezo lolote la kuwaondoa Wapalestina kuwa "halikubaliki na ni hatari."
ILe idadi kubwa ya mashoga kule zanzibar na hapa dar es salaam kumbe ni walokole 😂😂Dini yetu inapinga ushoga inatosha hatufiati mtu sisi😅 nyie walokole ndiyo mnaabudu mtu.
Huu uharo wapekee walokole wenzako ndiyo watasoma.gelesha tu ndugu, wote wapo lengo moja. kwa upande wangu, tangu enzi za Biblia, Ufalme wa Israel ulipokuwepo, hata kwenye Biblia yote, eneo la Gaza limekuwa chini ya wapalestina (wafilisti) na ndio walipigana sana na Daudi mfalme wa Israel. hata ukiangalia kwenye makabila 12 ya Israel (Yakobo - Yakub), aliwagawia maeneo mengine yote isipokuwa Gaza. ipo vile hadi leo. kwahiyo waachwe tu, ila wakileta ugaidi watajuana na myahudi palepale. naona na wao pia wameelewa, wamejua wanataka kuondolewa mazima, jana wamejenga mahema mengi na kampeni ya hamas sasaivi ni kujenga mahema ili watu wabaki pale wasiondolewe. lakini Myahudi na trump wanasema pale bado kuna miili, kuna mahandaki, silaha na vitu vinavyotakiwa kusafishwa ili pawe salama. hiyo ni sababu ya msingi sana wanaitumia.