Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waislael ni wazungu!? Halafu Mimi sikufanya ushabiki kwa yeyote. Mimi nilijaribu tu kusema ukweli. Wafilisti wanapaswa kuiachia nchi ya watu.Jirekebisheni, wazungu mmewafanya miungu wakati wanakutambueni nyie ni sokwe tu. Hivi huoni kuwa wametudharau sana! Mbona waarabu hawatufananishi na majina ya ajabu ajabu kama ninyi mnavyofananishwa na mabeberu! Nyie viumbe wa ajabu mnoo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mungu mwenye upendo wote anapanga viumbe wake wauane!!.. mungu wa namna hiyo simtaki.In short hiyo Vita ya Palestine na Israel ni Vita iliyopanngwa na na mungu kabisa. Kwa sababu tukisoma maandiko matakatifu yanasema sauli aliambiwa aue wamareki woote asiache
Huyu mungu hafai kabisaIn short hiyo Vita ya Palestine na Israel ni Vita iliyopanngwa na na mungu kabisa. Kwa sababu tukisoma maandiko matakatifu yanasema sauli aliambiwa aue wamareki woote asiache
Cyo wote ni homosexuals, mbona hata bongo wapo homos
Sent using Jamii Forums mobile app
[/
Tunazungumzia mamlaka si Ina support huo ujinga
Walikosea saana kuingia mikataba ndio maana wakaambiwa "hao watu watakuwa miiba mbavuni mwenu"In short hiyo Vita ya Palestine na Israel ni Vita iliyopanngwa na na mungu kabisa. Kwa sababu tukisoma maandiko matakatifu yanasema sauli aliambiwa aue wamareki woote asiache
Waislael ni wazungu!? Halafu Mimi sikufanya ushabiki kwa yeyote. Mimi nilijaribu tu kusema ukweli. Wafilisti wanapaswa kuiachia nchi ya watu.