Palestine vs California

Echolima1 Tusiingize mambo ya dini sana kwanza waisrael si waislam wala si wakristo so wewe na mimi hatuna haki ya kuwadefend kivyovyote maana wewe ukienda kule na dini yako hawakutambui na wanamtukana huyo yesu mtukufu (mtukufu issa mwana wa maryam a. S) kusema ni mtoto wa haramu,
 
kama mturuki angekuwa anapeleka misaaada ya ijeshi israeli basi tungesema kitu
 
usijitoe akili ho moto sio wa kawaida,tena ktk nchi kama USA,hiyo ni fimbo tu za matako na pengine kuna mengi majanga yaja
 


View: https://www.youtube.com/shorts/inu2smA5O_c
 


View: https://www.youtube.com/shorts/tVEwcGgf6cU
 

Unadanganyika na vi - Clip uchwara ambavyo hujui hata maana yake. Anasema 1948 walifukuzwa wapalestina 750,000 kwa nini? Hajakueleza kwa nini!!
 
Ngoja NIK-upe somo nani alikuambia kuwa Waisrael si Wakristo wala si waislamu? Pili kwa nini unasema huna haki kuwa defend? Nani aliyekudanganya kuwa wakristo wakienda huko hawatambuliwi? Na wanamtukana huyo Yesu wanasema ni Mwana wa haramu?. Najua huwezi kunijibu sasa mimi nimeamua nikupe somo. Kwanza huko Israel kuna wakristo na waislamu wengi tu tena kuna zaidi ya waarabu million mbili Pili Oct 07,2023 waarabu waliua waisrael 1,200 na wakabaka na kuteka watu wasio na hatia kwa hali hiyo kwa nini wewe usiwa defend? Kama kweli Una utu? Tatu umesema kuwa wakristo wakienda huko hawatambuliwi kitu ambacho si kweli hapa nchi kila leo wakristo wanaenda huko kuhiji na wanapokelewa na maeneo hayo yanatunzwa na kulindwa na hao hao waisrael ambao wewe unadai hawawatambui. Huo ni uongo unaoenezwa na Wafuga Midevu na Majini wenzako huko kuna makanisa mengi tu. Tatizo lako umemezeshwa uongo na waarabu na wewe unakuja kujianika hapa na unaonekana kuwa wewe ndiyo mjinga kabisa!!!
 

Uliona wapi hao watu waliobakwa ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…