Ngoja NIK-upe somo nani alikuambia kuwa Waisrael si Wakristo wala si waislamu? Pili kwa nini unasema huna haki kuwa defend? Nani aliyekudanganya kuwa wakristo wakienda huko hawatambuliwi? Na wanamtukana huyo Yesu wanasema ni Mwana wa haramu?. Najua huwezi kunijibu sasa mimi nimeamua nikupe somo. Kwanza huko Israel kuna wakristo na waislamu wengi tu tena kuna zaidi ya waarabu million mbili Pili Oct 07,2023 waarabu waliua waisrael 1,200 na wakabaka na kuteka watu wasio na hatia kwa hali hiyo kwa nini wewe usiwa defend? Kama kweli Una utu? Tatu umesema kuwa wakristo wakienda huko hawatambuliwi kitu ambacho si kweli hapa nchi kila leo wakristo wanaenda huko kuhiji na wanapokelewa na maeneo hayo yanatunzwa na kulindwa na hao hao waisrael ambao wewe unadai hawawatambui. Huo ni uongo unaoenezwa na Wafuga Midevu na Majini wenzako huko kuna makanisa mengi tu. Tatizo lako umemezeshwa uongo na waarabu na wewe unakuja kujianika hapa na unaonekana kuwa wewe ndiyo mjinga kabisa!!!