Palestine vs California



View: https://www.youtube.com/watch?v=iZlQOjq4EvM
 
usijitoe akili ho moto sio wa kawaida,tena ktk nchi kama USA,hiyo ni fimbo tu za matako na pengine kuna mengi majanga yaja
Huo ni ulevi tu wa dini ndio unaokusumbua toka lini wewe ukawa nabii.
 
Hayo ni maoni yake lakini hawawezi kuwa ni kweli ndiyo maana hata yeye hana uhakika wa anayosema wala idadi ya waliokufa. Vi-Clip Vya michongo hivyo havina kichwa wala miguu. Wajinga na wapumbavu tu ndiyo wanavipapalikia lakini nikikuuliza swali huwezi kujibu kuhusu hizo clip za michongo!!!
 
Mungu wako nani tuanzie apo!!!
 
Ni kweli kabisa.Yale yale waliowafanyia wapalestina na wao yanawakuta.
 
Hata huko Palestina,waliuliwa watoto,wanawake,wazee,hawahusiki na vita.Hii sasa inajilipa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…