Palestine vs California

Palestine vs California

Ujinga na Upumbavu unawasumbua Gaza watu 46,000 na huko marekani moto umeteketeza misitu na nyumba waliokufa ni 10 huko misitu itapandwa na nyumba zitajengwa kwa mwaka mmoja tu huko Gaza uhai wa hao marehem utarudishwa vipi??? Hata hivyo hakuna uhusiano kati ya Gaza na janga la moto huko Marekani. Gaza magaidi waliua watu Oct 07,2023 na sasa wanavuna walichopanda.


View: https://www.youtube.com/watch?v=iZlQOjq4EvM
 
usijitoe akili ho moto sio wa kawaida,tena ktk nchi kama USA,hiyo ni fimbo tu za matako na pengine kuna mengi majanga yaja
Huo ni ulevi tu wa dini ndio unaokusumbua toka lini wewe ukawa nabii.
 
Hayo ni maoni yake lakini hawawezi kuwa ni kweli ndiyo maana hata yeye hana uhakika wa anayosema wala idadi ya waliokufa. Vi-Clip Vya michongo hivyo havina kichwa wala miguu. Wajinga na wapumbavu tu ndiyo wanavipapalikia lakini nikikuuliza swali huwezi kujibu kuhusu hizo clip za michongo!!!
 
watu ni wajinga sana, wanaamini moto ule ni mungu wao amechoma kwa kosa la Gaza, allah hana huo uwezo, moto wa california sana sana naweza amini kwa mbali ni mambo ya dhambi za ushoga na usagaji, ila sio suala la gaza. mungu wa kiarabu hana uwezo wa kuchoma hata kipande cha nguo tu.
Mungu wako nani tuanzie apo!!!
 
Mungu mwacheni aitwe mungu ndani ya macho yetu tunaona nguvu za mungu yale yale wanayofadhili kule GAZA sasa nawao wanapisha hospital pengine kuna magaidi wamejificha umo hospitalini wagojwa wanatolewa!!! Aisee apana wapalestina wataogopwa son tu ata waisrael watakimbia ukweli utajidhiili marekani inaadhibiwa kwa matendo yake!!! Aijawai kuwa ktk historia yote ya marekani huu ni mkono wa mungu,
Ni kweli kabisa.Yale yale waliowafanyia wapalestina na wao yanawakuta.
 
Sasa mzee hiyo karma inawapata hata wasiohusika, maana hilo janga linawatandika raia wasio na maamuzi yoyote, pia kuna wageni wasio wamarekani.

Hii imani yenu haijakaa sawa kabisa, kufurahia majanga sio kitu kizuri, ni ukatili na roho mbaya. Mungu wenu ndio anawaruhusu mfurahie shida za wengine??
Hata huko Palestina,waliuliwa watoto,wanawake,wazee,hawahusiki na vita.Hii sasa inajilipa.
 
Back
Top Bottom