johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Asia Cup sio AFCON, ndio maana katika kombe la dunia Asia inatoa timu 4 na Africa inatoa timu 5Inasikitisha Sana kuona nchi iliyo vitani inaingia 16 Bora na Sisi wenye amani tele tumetupwa Nje Hata kama Michuano ni tofauti lakini hadhi yake inafanana
Mlale Unono π
Tukishindwa kote tuhamie ukoInasikitisha Sana kuona nchi iliyo vitani inaingia 16 Bora na Sisi wenye amani tele tumetupwa Nje Hata kama Michuano ni tofauti lakini hadhi yake inafanana
Mlale Unono π
Yaani Afcon unaifananisha na mashindano yenye timu za Indonesia, Hong Kong, Uzbekistan, India et al?Inasikitisha Sana kuona nchi iliyo vitani inaingia 16 Bora na Sisi wenye amani tele tumetupwa Nje Hata kama Michuano ni tofauti lakini hadhi yake inafanana
Mlale Unono [emoji23]
South america wanatia timu tano tupo nao sawa?Asia Cup sio AFCON, ndio maana katika kombe la dunia Asia inatoa timu 4 na Africa inatoa timu 5
Yeah, kama timu ya Africa imefika nusu fainali ya WC 2022, maana yake imeingia katika timu nne bora zilizoshiriki World Cup ambapo timu mbili zilikuwa za Ulaya, moja ya South America na moja ya Africa. Huko Asia hakukuwapo hata mojaSouth america wanatia timu tano tupo nao sawa?
Ngapi zimefika fainali kati ya africa na amerika kusiniYeah, kama timu ya Africa imefika nusu fainali ya WC 2022, maana yake imeingia katika timu nne bora zilizoshiriki World Cup ambapo timu mbili zilikuwa za Ulaya, moja ya South America na moja ya Africa. Huko Asia hakukuwapo hata moja
Palestina haipo America ya Kusini πNgapi zimefika fainali kati ya africa na amerika kusini
Mimi nimetumia logic yako ya kutumia hili kombe la asia kulinganisha na afcon kwa idadi ya team kwenye worldcup , nikaigeuza na kuipeleka kwenye afcon dhidi ya amerika kusini wewe unaona inamake sense?Palestina haipo America ya Kusini π
au umesahau title ya uzi?
Inasikitisha Sana kuona nchi iliyo vitani inaingia 16 Bora na Sisi wenye amani tele tumetupwa Nje Hata kama Michuano ni tofauti lakini hadhi yake inafanana
Mlale Unono π
Vita ndo imewajenga kuwa kama walivo, kabla ya hii vita kulikuwa na vita, vita imewafanya kua mashujaaInasikitisha Sana kuona nchi iliyo vitani inaingia 16 Bora na Sisi wenye amani tele tumetupwa Nje Hata kama Michuano ni tofauti lakini hadhi yake inafanana
Mlale Unono π
Yaani Afcon unaifananisha na mashindano yenye timu za Indonesia, Hong Kong, Uzbekistan, India et al?
Naunga mkono hojaYeah, kama timu ya Africa imefika nusu fainali ya WC 2022, maana yake imeingia katika timu nne bora zilizoshiriki World Cup ambapo timu mbili zilikuwa za Ulaya, moja ya South America na moja ya Africa. Huko Asia hakukuwapo hata moja
Yaani Afcon unaifananisha na mashindano yenye timu za Indonesia, Hong Kong, Uzbekistan, India et al?
Kati ya nchi za AFCON na Asia, ni zipi zinapeleka zaidi wachezaji wake kwenda kucheza kwa mwenzake?Asia Cup sio AFCON, ndio maana katika kombe la dunia Asia inatoa timu 4 na Africa inatoa timu 5