Palestine wako Vitani lakini wameingia 16 Bora Kombe la Asia sijajua Taifa Stars imefeli nini AFCON

Palestine wako Vitani lakini wameingia 16 Bora Kombe la Asia sijajua Taifa Stars imefeli nini AFCON

Inaumwa ugonjwa wa CCM hiyo...

Kila kitu kinalia na kuathiriwa na janga hili linaloitwa CCM...

Dawa ya haya yote ni kuhakikisha laana na uchawi huu uitwao CCM unatoweka Tanganyika na kila kitu (ikiwemo mpira wa Tanzania) kitatoka kifungoni na kushangilia tena..!!
 
Yeah, kama timu ya Africa imefika nusu fainali ya WC 2022, maana yake imeingia katika timu nne bora zilizoshiriki World Cup ambapo timu mbili zilikuwa za Ulaya, moja ya South America na moja ya Africa. Huko Asia hakukuwapo hata moja
Ngapi zimefika fainali kati ya africa na amerika kusini
 
Palestina haipo America ya Kusini 😁
au umesahau title ya uzi?
Mimi nimetumia logic yako ya kutumia hili kombe la asia kulinganisha na afcon kwa idadi ya team kwenye worldcup , nikaigeuza na kuipeleka kwenye afcon dhidi ya amerika kusini wewe unaona inamake sense?
 
Inasikitisha Sana kuona nchi iliyo vitani inaingia 16 Bora na Sisi wenye amani tele tumetupwa Nje Hata kama Michuano ni tofauti lakini hadhi yake inafanana

Mlale Unono 😂

Na sisi next time tuwe vitani ili tuingie 16 bora ya AFCON...

Maana naona unaleta hisabati za mlinganyo kwenye mpira...
 
Inasikitisha Sana kuona nchi iliyo vitani inaingia 16 Bora na Sisi wenye amani tele tumetupwa Nje Hata kama Michuano ni tofauti lakini hadhi yake inafanana

Mlale Unono 😂
Vita ndo imewajenga kuwa kama walivo, kabla ya hii vita kulikuwa na vita, vita imewafanya kua mashujaa
 
Yeah, kama timu ya Africa imefika nusu fainali ya WC 2022, maana yake imeingia katika timu nne bora zilizoshiriki World Cup ambapo timu mbili zilikuwa za Ulaya, moja ya South America na moja ya Africa. Huko Asia hakukuwapo hata moja
Naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom