johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Inasikitisha Sana kuona nchi iliyo vitani inaingia 16 Bora na Sisi wenye amani tele tumetupwa Nje Hata kama Michuano ni tofauti lakini hadhi yake inafanana.
Mlale Unono 😂
Mlale Unono 😂