beefinjector
JF-Expert Member
- Jul 23, 2009
- 2,458
- 2,496
Uzbekistan na mpira wapi na wapi? India na mpira wapi na wapi? Au hujui mpira?Umewahi kuwaona hao Uzbekistan wakicheza? acha mambo ya kimaskani mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzbekistan na mpira wapi na wapi? India na mpira wapi na wapi? Au hujui mpira?Umewahi kuwaona hao Uzbekistan wakicheza? acha mambo ya kimaskani mkuu
Kwa logic yako ligi ya Saudi Arabia ni bora kuliko ligi za Ulaya. Maana hakuna waarabu wanaotoka Saudia kwenda Ulaya lakini kila siku wachezaji wanatoka Ulaya wanaenda Saudia.Kati ya nchi za AFCON na Asia, ni zipi zinapeleka zaidi wachezaji wake kwenda kucheza kwa mwenzake?
Unadhani wangepata nafasi ulaya wasingeenda?Kwa logic yako ligi ya Saudi Arabia ni bora kuliko ligi za Ulaya. Maana hakuna waarabu wanaotoka Saudia kwenda Ulaya lakini kila siku wachezaji wanatoka Ulaya wanaenda Saudia.
Uzbekistan na mpira wapi na wapi? India na mpira wapi na wapi? Au hujui mpira?
Wewe mpira hujui baki kushabikia rede tu. Uzbekistan wakija kushiriki Afcon wanaweza kuchukua kabisa kombe. India hawawezi kufungwa na taifa stars. Fifa ranking wako juu zaidi ya hiyo taifa stars yako.Uzbekistan na mpira wapi na wapi? India na mpira wapi na wapi? Au hujui mpira?
Hujui hata unachoongea. Napoteza tu muda wangu.Unadhani wangepata nafasi ulaya wasingeenda?
Au kuna waliopata nafasi ulaya wakazikataa?
Hujui hata unachoongea. Napoteza bure muda wangu.Narejea tena, acha kukariri ndugu, katulie utizame football.
Huelewi hata hoja ni nini. Sasa Stars ndio kipimo cha Afcon? Uzbekistan wachukue Afcon? Naona wewe ndio umetoka kwenye rede kuja kwenye soka, inabidi urudi huko huko.Wewe mpira hujui baki kushabikia rede tu. Uzbekistan wakija kushiriki Afcon wanaweza kuchukua kabisa kombe. India hawawezi kufungwa na taifa stars. Fifa ranking wako juu zaidi ya hiyo taifa stars yako.
Kwani muda wako una thamani gani kama kama uwezo wako ndiyo huo?Hujui hata unachoongea. Napoteza tu muda wangu.
Asia Cup sio AFCON, ndio maana katika kombe la dunia Asia inatoa timu 4 na Africa inatoa timu 5
Yaani Afcon unaifananisha na mashindano yenye timu za Indonesia, Hong Kong, Uzbekistan, India et al?
Kati ya hizo nchi ulizozitaja na Morocco, Algeria, Senegal na Nigeria ni nchi zipi zina wachezaji wengi Europe? Kama Asia kuna kiwango kikubwa kuliko Africa kwa nini wachezaji wanaocheza Europe ni wachache?Hivi kweli Saudia, japan na south korea/Qatar unazichukuliaje? Ukimtoa Morocco ni nani wa kuwazuia hao! Algeria ya miaka ya nyuma sio ya sasa iliyojaza wazee
Kama kama huh?Kwani muda wako una thamani gani kama kama uwezo wako ndiyo huo?