Palestine wako Vitani lakini wameingia 16 Bora Kombe la Asia sijajua Taifa Stars imefeli nini AFCON

Palestine wako Vitani lakini wameingia 16 Bora Kombe la Asia sijajua Taifa Stars imefeli nini AFCON

Kati ya nchi za AFCON na Asia, ni zipi zinapeleka zaidi wachezaji wake kwenda kucheza kwa mwenzake?
Kwa logic yako ligi ya Saudi Arabia ni bora kuliko ligi za Ulaya. Maana hakuna waarabu wanaotoka Saudia kwenda Ulaya lakini kila siku wachezaji wanatoka Ulaya wanaenda Saudia.
 
Kwa logic yako ligi ya Saudi Arabia ni bora kuliko ligi za Ulaya. Maana hakuna waarabu wanaotoka Saudia kwenda Ulaya lakini kila siku wachezaji wanatoka Ulaya wanaenda Saudia.
Unadhani wangepata nafasi ulaya wasingeenda?
Au kuna waliopata nafasi ulaya wakazikataa?
 
Uzbekistan na mpira wapi na wapi? India na mpira wapi na wapi? Au hujui mpira?
Wewe mpira hujui baki kushabikia rede tu. Uzbekistan wakija kushiriki Afcon wanaweza kuchukua kabisa kombe. India hawawezi kufungwa na taifa stars. Fifa ranking wako juu zaidi ya hiyo taifa stars yako.
 
Huelewi hata hoja ni nini. Sasa Stars ndio kipimo cha Afcon? Uzbekistan wachukue Afcon? Naona wewe ndio umetoka kwenye rede kuja kwenye soka, inabidi urudi huko huko.
 
Yaani Afcon unaifananisha na mashindano yenye timu za Indonesia, Hong Kong, Uzbekistan, India et al?

Hivi kweli Saudia, japan na south korea/Qatar unazichukuliaje? Ukimtoa Morocco ni nani wa kuwazuia hao! Algeria ya miaka ya nyuma sio ya sasa iliyojaza wazee
 
Hivi kweli Saudia, japan na south korea/Qatar unazichukuliaje? Ukimtoa Morocco ni nani wa kuwazuia hao! Algeria ya miaka ya nyuma sio ya sasa iliyojaza wazee
Kati ya hizo nchi ulizozitaja na Morocco, Algeria, Senegal na Nigeria ni nchi zipi zina wachezaji wengi Europe? Kama Asia kuna kiwango kikubwa kuliko Africa kwa nini wachezaji wanaocheza Europe ni wachache?
 
Hilo swali nafikiri ungemuuliza waziri wa michezo na watendaji wake bmt na Tff kwanza ili ikiwezekana wafanye Kama Yule waziri wa Zanzibar .
 
Back
Top Bottom