zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Ndio mkuu, hapo wanachotakiwa kukifanya Chama B ni kua tu nyuma ya Chama A yaan waache tu of Chama A ndio watabakia kua waamuzi wa nani awepo na nani asiwepo kwa hio Chama B wala hawana haja ya kulialia kwa sababu wameridhia hilo wenyewe wanachotakiwa kufanya ni kuridhia tu kile walichoridhia na kusema tumeridhia tuwe nje huku tu na Chama A ndio kiendelee kuongoza na kutawala simple tu km hivyo wala haiitaji kuumiza sana kichwa kwenye jambo km hilo ambalo lipo wazi hakuna msimamizi wa Chama A ambae ataruhusu mgombea kupitia Chama B ashinde uchaguzi, nimemalizaChama B kuridhia matakwa ya chama A na baadaye kulalamika, ndipo ulipo msingi wa hoja.
Ukiridhiana na chama A kwa misingi yoyote, kulikoni kulia lia yakikukuta yanayojulikana?