palm mall kibada kwa steven kigambon.ushauri weka michezo ya watoto

palm mall kibada kwa steven kigambon.ushauri weka michezo ya watoto

julaibibi

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2020
Posts
3,081
Reaction score
4,224
hongera yoyote aliyejenga pale ila angetaka kumaliza mchezo aweke michezob ya watoto kama pale city mall. utapata wateja sana.
naomba kushauri
 
hongera yoyote aliyejenga pale ila angetaka kumaliza mchezo aweke michezob ya watoto kama pale city mall. utapata wateja sana.
naomba kushauri
Eneo dogo sana. Labda kama nyuma ya hilo jengo kuna uwanja mwingine. Vinginevyo hapo mbele kwenye parking ni eneo hatarishi.
 
Attachments

  • 20250126_173900.jpg
    20250126_173900.jpg
    316.5 KB · Views: 3
  • 20250126_173858.jpg
    20250126_173858.jpg
    288.9 KB · Views: 2
Back
Top Bottom