Palmistry: Mkono wangu hauna mistari ya watoto

kama wewe ni muislamu, kitendo cha kwenda kwa huyo "mbashiri" anaeangalia alama za mikono na kusikiliza huo ubashiri wake, basi sala zako za siku 40 hazikubaliwi.

hapo umeenda na kusikiliza tu. ukiamini ulichoambiwa na huyo "mbashiri" basi utakua umefanya shirki, na itabidi utubie kwa mola wako. kama hujaenda bado nakushauri usiende.
 
Leta hiyo video
 
Bahati mbaya mimi sio muslim [emoji30] Shirki ni nini
 
Umeolewa kwani ?
Tuanzie hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…