paloma wacha tabia mbaya hii wamfanya nini sosoliso???

Mkuu sosoliso sema tu ukweli wa moyo wako hayo si mahaba bali mateso.
Sema tu kwakuwa hupindui kwa binamu yangu Paloma basi inabidi tu ukaze mkwiji.

Nampenda Paloma mpaka ninaona kizunguzungu mie Mwita Maranya..

Hongera kwanza.. Nimeona umeamua kumfuta machozi Mamndenyi hatimae.. Walishamfanya chandimu maana yake.. Kila mtu anaputa mradi amevaa safari buti lol.. Najua Arushaone na Mr Rocky viroho vinawauma.. Wakisema wao cha nini Mwita Maranya anajiuliza atakipata lini lol..
 
Last edited by a moderator:
anhahahahahahaaaaaaaa ahahahahahahahaaaaaaa
Nivea kumbe ulikuwepo hapa! Lol! vipi lakini unamtaka sosoliso?!?!?!
 
Last edited by a moderator:
anhahahahahahaaaaaaaa ahahahahahahahaaaaaaa
nivea kumbe ulikuwepo hapa! Lol! Vipi lakini unamtaka sosoliso?!?!?!
wapi nilipoandika namtaka ??huyo wakunusa unamweza mwenyewe hahahahaah Paloma hata humuonei huruma mtoto wa mwanamke mwenzio lol kumnusisha pichu hahahahaha
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…