wapi nilipoandika namtaka ??huyo wakunusa unamweza mwenyewe hahahahaah Paloma hata humuonei huruma mtoto wa mwanamke mwenzio lol kumnusisha pichu hahahahaha
sosoliso...usijivunge babe! we mlambe tu huyu Nivea ila jua nitakaye kaa eda ni mimi........na nitakayerithi milioni mia kadhaa zako ukirip ni mie.......na maisha yataendelea!!!mdanganye hivyo hivyo maisha yaendelee
Ntapata kama hiyo hiyo au?
we nakuhurumia.......nikikupa hiyo utalia.....wewe ntakusulubu kidogo tu.......\![]()
mmmmmh!!chezea limbwata la njegere
mixer majani ya kunde wewe,haaa!!