Wasicheze keshoKlabu ya Pamba Jiji yenye makazi yake Jijini Mwanza wanadai kuzimiwa taa wakati wa mazoezi yao ya Mwisho kuelekea mchezo wao dhidi ya Yanga Sc hapo kesho.
"Hii ndiyo hali tuliyokutana nayo uwanja wa taifa, taa zimezimwa tumefanya mazoezi gizani".
View attachment 3477932
Haihusiani na Pamba jiji. Simba walikuwa wanacheza na Yanga na sio PambaKwani mimi nawaonea huruma? Wao si huwa wanajipendekeza kwa kuihujumu Simba? Si mnalikumbuka lile li Mkuu la Mkoa wa Mwanza lenye kichwa kama trekta ya Massey Ferguson lilichoifanyia Simba pale CCM Kirumba?
Yaleyale ya tarehe 8, wale jamaa wakakimbiaMimi nawashauri badala ya kulalamika, wangetoa taarifa kwa wahusika wa uwanja. Na kama hakuna ushirikiano, wapeleke mashtaka yao ngazi inayohusika.
NB; Nina uhakika Yanga haitahusishwa kwa namna yoyote ile. Maana hawana huo muda, na pia sababu ya kufanya hivyo.
Msemaji!!Mimi nawashauri badala ya kulalamika, wangetoa taarifa kwa wahusika wa uwanja. Na kama hakuna ushirikiano, wapeleke mashtaka yao ngazi inayohusika.
NB; Nina uhakika Yanga haitahusishwa kwa namna yoyote ile. Maana hawana huo muda, na pia sababu ya kufanya hivyo.