Pamba United: Baada ya kupanda Ligi Kuu, wamepiga chini wachezaji wote

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
26,961
Reaction score
77,890
Baada ya timu ya Pamba United kutoka Mwanza kufanikiwa kupanda kwenye Ligi Kuu ya NBC mwaka 2024/25 wameamua kutemana na wachezaji wake wote.

Hii imetolewa leo na msemaji wao, kwa kudai wamemalizana mikataba na wachezaji wote so wanaanza usajili kuanzia namba 1. Pia wanapiga chini bench la ufundi.
 
Sijawahi ona timu yenye maamzi ya aina hii, labda tuwape muda tukijaliwa uzima tutaona mbivu au mbichi
 
usaliti huo
 
Hiyo imeshashuka daraja kabla hawajaanza kucheza mechi yoyote ya ligi kuu.
 
Kama wamemalizana basi hakuna ubaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…