Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pale Mashujaa mwanzoni walitaka kutumia wengi waliopandishwa ligi , mechi nyingi walikuwa wanapoteza, wakafumua kikosi ila waliopandishwa ligi wapo 3 wanaoanza kikosi cha kwanza, kuna badi beki, Germanus mshambuliaji na wameonyesha uimara na magoli walikuwa wanafunga.Kati ya wachezaji 20+ pamoja na benchi la ufundi hakuna waliofanya vizuri? Au Kazi yao ilimshawishi mmiliki kuongeza mkataba?
Nb. Binafsi siliamini hilo.labda anajua mbinu alizozitumia kushinda, ndio maana anaona hakuna anayefaa kuongezewa mkakataba.
Safi sana WANA TP LINDANDA, kila kitu tunaiga ulaya nafikiri hata ulaya wanafanya hivy
Nina wasiwasi kuna matajiri bongo wameshawasajilia hao jamaa, wameshawekwa kinyumba wanalishwa na wanaume wenzao.Sio tatizo Cha msingi wasajili watu wa kazi
Kwa juujuu unawaleza walaumu ila mimi naona kupanda kwao daraja wanajua wao viongozi walivyopanda.Baada ya timu ya Pamba United kutoka Mwanza kufanikiwa kupanda kwenye Ligi Kuu ya NBC mwaka 2024/25 wameamua kutemana na wachezaji wake wote.
Hii imetolewa leo na msemaji wao, kwa kudai wamemalizana mikataba na wachezaji wote so wanaanza usajili kuanzia namba 1. Pia wanapiga chini bench la ufundi.
Ngoja niGUGO mkuuClub ipi ulaya imewahi Kuacha wachezaji wote baada yakupanda ligi kuu???
😂😂😂😂😂😂🙌Hiyo imeshashuka daraja kabla hawajaanza kucheza mechi yoyote ya ligi kuu.
Pamba ni timu ya wananchi kama zilivyo Simba na Yanga, nadhani ukitoa Simba na Yanga ndo timu kubwa ya 3 inayofatia, wachezaji wake kwa ligi kuu wanatakiwa kuwa na hadhi.Kati ya wachezaji 20+ pamoja na benchi la ufundi hakuna waliofanya vizuri? Au Kazi yao ilimshawishi mmiliki kuongeza mkataba?
Nb. Binafsi siliamini hilo.labda anajua mbinu alizozitumia kushinda, ndio maana anaona hakuna anayefaa kuongezewa mkakataba.
Angefanya kama tabora mbona alisajili wachezaji wazuri akiwa championshipPamba ni timu ya wananchi kama zilivyo Simba na Yanga, nadhani ukitoa Simba na Yanga ndo timu kubwa ya 3 inayofatia, wachezaji wake kwa ligi kuu wanatakiwa kuwa na hadhi.
Kwa simba hii sidhan. Pamba itatoboa tundu la simba 😂Wajinga sana aiseeeeee. Kapu la kuongezea point Simba na Yanga