Pamba United: Baada ya kupanda Ligi Kuu, wamepiga chini wachezaji wote

Pamba United: Baada ya kupanda Ligi Kuu, wamepiga chini wachezaji wote

Haiwezekani timu nzima mikataba yawachezaji iishe msimu moja.swali ni moja,,je wasingepanda wangesema kuwa mikataba imesha muda wake..it's a shame.
Unaweza kukuta wachezaji wafalme wameweka masharti magumu ambayo hayatekelezeki!
 
Unaweza kukuta wachezaji wafalme wameweka masharti magumu ambayo hayatekelezeki!
Na pia sioni ubaya wakiamua kuanza Upya ! Kwani unapomaliza mkataba aliyekuajiri analazimika kuendelea na wewe ?!
 
Na pia sioni ubaya wakiamua kuanza Upya ! Kwani unapomaliza mkataba aliyekuajiri analazimika kuendelea na wewe ?!
Ni kweli kabisa! Pamba wako sahihi! Huwezi kukaa vizuri na mtu anayejiona ni mfalme lazima atakunyanyasa tu! Wacha vianze na wapya! Mbona wapo wengi walioachwa na timu zao! Akina Chilunda hao hapo, akina Nkane wanatafuta timu za kucheza mara kwa mara!
 
Back
Top Bottom