Ni kweli kabisa! Pamba wako sahihi! Huwezi kukaa vizuri na mtu anayejiona ni mfalme lazima atakunyanyasa tu! Wacha vianze na wapya! Mbona wapo wengi walioachwa na timu zao! Akina Chilunda hao hapo, akina Nkane wanatafuta timu za kucheza mara kwa mara!