Watajwa hapo juu wameamua kukesha kwenye mtandao wa Twiter 24/7 kupiga porojo na kutukana muda wote.
Inatia huruma sana kwa umri mlionao badala ya kufanya mambo ya kuigwa na walio wadogo zenu nyie mmeamua kwa makusudi kabisa kuwahadaa vijana wadogo wa nchii kwa kuandika habari za kusadika na kuvizia matukio.
Mnatia aibu aisee