Mateo Kovasic
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 420
- 335
Hawana ubavu,kama Mulyankende alishindwa hawa hawataweza kitu!!!
Nzilankende
Hawana ubavu,kama Mulyankende alishindwa hawa hawataweza kitu!!!
🤣Si mnyooke nao? Mbona maelekezo mmeshapewa na Betina? Malalamiko ya nini tena humu?
Nilijua pambalu lazima uje.Sasa wewe uvccm si ndio vizuri kwako chadema ikifa ?
SIKUHIZI TENA WAMEANZA KUWALIPA ..?7000/-yani ulowataja hapo kuna vichwa panzi wa hatari.... halaf wanajiita eti activists.....mara sijui am back from prison..... mwingine eti Exiled in canada 🤣 wanakera sana sijui kama wanalifahamu hilo
😯😯SIKUHIZI TENA WAMEANZA KUWALIPA ..?7000/-
Nenda mahakamani kama unaona wanatumia lugha za matusiWatajwa hapo juu wameamua kukesha kwenye mtandao wa Twiter 24/7 kupiga porojo na kutukana muda wote.
Inatia huruma sana kwa umri mlionao badala ya kufanya mambo ya kuigwa na walio wadogo zenu nyie mmeamua kwa makusudi kabisa kuwahadaa vijana wadogo wa nchii kwa kuandika habari za kusadika na kuvizia matukio.
Mnatia aibu aisee
anayesoma wanayoandikaWanamtukana nani?
Ya Tweeter kama hutaki kuyaleta huku, yaache huko huko Tweeter. Huku tupo JF.Ingia twiter ujionee mwenyewe
Bora hao kuliko nyie uvccm mliojigeuza panya road na kuwapora raia mali zao na kuwaumiza. Uvccm ni uzao wa nyoka kabisa mashetani wakubwa nyie.Watajwa hapo juu wameamua kukesha kwenye mtandao wa Twiter 24/7 kupiga porojo na kutukana muda wote.
Inatia huruma sana kwa umri mlionao badala ya kufanya mambo ya kuigwa na walio wadogo zenu nyie mmeamua kwa makusudi kabisa kuwahadaa vijana wadogo wa nchii kwa kuandika habari za kusadika na kuvizia matukio.
Mnatia aibu aisee
Tuondolee umbea wako wa kipanyaroad hapa. Huu upuuzi jadillianeni na vibaka wenzako hapo lumumbaIngia twiter ujionee mwenyewe