Wanamtukana nani?Watajwa hapo juu wameamua kukesha kwenye mtandao wa Twiter 24/7 kupiga porojo na kutukana muda wote .Inatia huruma sana kwa umri mlionao badala ya kufanya mambo ya kuigwa na walio wadogo zenu nyie mmeamua kwa makusudi kabisa kuwadaa vijana wadogo wa nchii kwa kuandika habari za kusadika na kuvizia matukio .Mnatia aibu aisee
yani ulowataja hapo kuna vichwa panzi wa hatari.... halaf wanajiita eti activists.....mara sijui am back from prison..... mwingine eti Exiled in canada 🤣 wanakera sana sijui kama wanalifahamu hiloWatajwa hapo juu wameamua kukesha kwenye mtandao wa Twiter 24/7 kupiga porojo na kutukana muda wote.
Inatia huruma sana kwa umri mlionao badala ya kufanya mambo ya kuigwa na walio wadogo zenu nyie mmeamua kwa makusudi kabisa kuwahadaa vijana wadogo wa nchii kwa kuandika habari za kusadika na kuvizia matukio.
Mnatia aibu aisee
Vipi yule mkuu wa Mhimili aliyesema UVCCM wanyooke ba Wananchi hatii kinyaa na AIBU?Watajwa hapo juu wameamua kukesha kwenye mtandao wa Twiter 24/7 kupiga porojo na kutukana muda wote.
Inatia huruma sana kwa umri mlionao badala ya kufanya mambo ya kuigwa na walio wadogo zenu nyie mmeamua kwa makusudi kabisa kuwahadaa vijana wadogo wa nchii kwa kuandika habari za kusadika na kuvizia matukio.
Mnatia aibu aisee
Hujatoa mfano hata mmoja, sasa sisi hapa JF tutajuaje hayo mambo ya huko Tweeter?Watajwa hapo juu wameamua kukesha kwenye mtandao wa Twiter 24/7 kupiga porojo na kutukana muda wote.
Inatia huruma sana kwa umri mlionao badala ya kufanya mambo ya kuigwa na walio wadogo zenu nyie mmeamua kwa makusudi kabisa kuwahadaa vijana wadogo wa nchii kwa kuandika habari za kusadika na kuvizia matukio.
Mnatia aibu aisee
Zianike hizo tuhuma za matusi sivyo wewe ni mzandiki hufai!!Watajwa hapo juu wameamua kukesha kwenye mtandao wa Twiter 24/7 kupiga porojo na kutukana muda wote.
Inatia huruma sana kwa umri mlionao badala ya kufanya mambo ya kuigwa na walio wadogo zenu nyie mmeamua kwa makusudi kabisa kuwahadaa vijana wadogo wa nchii kwa kuandika habari za kusadika na kuvizia matukio.
Mnatia aibu aisee
Mtazamo wako.Una kadi ya CDM?Watajwa hapo juu wameamua kukesha kwenye mtandao wa Twiter 24/7 kupiga porojo na kutukana muda wote.
Inatia huruma sana kwa umri mlionao badala ya kufanya mambo ya kuigwa na walio wadogo zenu nyie mmeamua kwa makusudi kabisa kuwahadaa vijana wadogo wa nchii kwa kuandika habari za kusadika na kuvizia matukio.
Mnatia aibu aisee
Kawaacha hawajielewi.Wapowapo tu kama ngederemwitu.Hivi Jiwe yeye allijenga ccm?
Tupe hata tupicha tujiridhishe. La sivyo huu ni uharo kama miharo mingine sema tu upo kwenye form ya maandishiWatajwa hapo juu wameamua kukesha kwenye mtandao wa Twiter 24/7 kupiga porojo na kutukana muda wote.
Inatia huruma sana kwa umri mlionao badala ya kufanya mambo ya kuigwa na walio wadogo zenu nyie mmeamua kwa makusudi kabisa kuwahadaa vijana wadogo wa nchii kwa kuandika habari za kusadika na kuvizia matukio.
Mnatia aibu aisee
Washawasoma watanzania wanataka niniWatajwa hapo juu wameamua kukesha kwenye mtandao wa Twiter 24/7 kupiga porojo na kutukana muda wote.
Inatia huruma sana kwa umri mlionao badala ya kufanya mambo ya kuigwa na walio wadogo zenu nyie mmeamua kwa makusudi kabisa kuwahadaa vijana wadogo wa nchii kwa kuandika habari za kusadika na kuvizia matukio.
Mnatia aibu aisee
Hadi wakusomee?Weye unahitaji nini?
Ingia twiter ujionee mwenyeweHujatoa mfano hata mmoja, sasa sisi hapa JF tutajuaje hayo mambo ya huko Tweeter?
Tukisema wewe ni mtu wa majungu utasema tunakuonea?
Inawezekana ila si kwa fujo wanazofanya huko twiter,kidogo kidogo ,wake wasomi wanaikataa chadema kwa maanq hadi viongozi wa chama wako actictive mitandaoni kwa lugha za ovyo kabisaHadi wakusomee?Weye unahitaji nini?
Hawa ndio CDM bana ,nadhani hata hujaelewaTupe hata tupicha tujiridhishe. La sivyo huu ni uharo kama miharo mingine sema tu upo kwenye form ya maandishi
Wanamtukana nani?
Watajwa hapo juu wameamua kukesha kwenye mtandao wa Twiter 24/7 kupiga porojo na kutukana muda wote.
Inatia huruma sana kwa umri mlionao badala ya kufanya mambo ya kuigwa na walio wadogo zenu nyie mmeamua kwa makusudi kabisa kuwahadaa vijana wadogo wa nchii kwa kuandika habari za kusadika na kuvizia matukio.
Mnatia aibu aisee
Si mnyooke nao? Mbona maelekezo mmeshapewa na Betina? Malalamiko ya nini tena humu?yani ulowataja hapo kuna vichwa panzi wa hatari.... halaf wanajiita eti activists.....mara sijui am back from prison..... mwingine eti Exiled in canada 🤣 wanakera sana sijui kama wanalifahamu hilo